Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
For sure Kwa hizi chuki mnazoo zipandikiza..Write your reply...kumbe limama lake nalo lihalifu na pia linatibiwa india inatakiwa lingetandikwa viboko nalo
hata mimi napata maumi hayo tena pengine ni zaid pale anapotukananwa matusi makubwa rais samia halafu nyie mnachekeleaFor sure Kwa hizi chuki mnazoo zipandikiza..
Tungekua tuna onana ama ungekua karibu na familia ya heche ungesogezewa maumivu kwa familia..
Nimesikiliza clip ya ndugu na kaka zake heche nimesisimka na pamoja na moyo wangu mgumu nimejikuta machozii yamenitoka..
Unadhani wewe hapo mpendwa wako akifanyiwa Unyama utakuja kuandika hapa? kukejeri na kutoa dhihaka kwa maisha ya mtu/ watu.
Kama heche ana makosa apelekwe mahakamani au ndugu zake waambiwe Ndugu Yao yupo wapi..
Sawa ndugu Kuna mambo tusikubaliane...kukabaliana ni sawa ila linapo kuja suala la uhai wa BINADAMU.... For sure tuweke TOFAUTI zetu pembeni.hata mimi napata maumi hayo tena pengine ni zaid pale anapotukananwa matusi makubwa rais samia halafu nyie mnachekelea
wewe unaona sawa anachofanyiwa mh rais? Uliwahi kemea?Sawa ndugu Kuna mambo tusikubaliane...kukabaliana ni sawa ila linapo kuja suala la uhai wa BINADAMU.... For sure tuweke TOFAUTI zetu pembeni.
Mizaha, kejeri na lugha ya maudhii zisizo na staha zisizo faa zisi ingine kabisa....
Haya mambo yanaweza kuku geukia hata ukiwa mama SAMIA supporters..wakati mwingine ni Bora kuto comment toxicity kabisa
Kwenye mazuri nayasema kwenye mabaya nasema.wewe unaona sawa anachofanyiwa mh rais? Uliwahi kemea?