πππDunia ya leo imebadilika sana na watu wanachukuliwa kufanya mambo mengi sana ambayo mengine utajuta kwanini uliamua maamuzi hayo ya kwenda huko
Wengine wamefanywa shemale nakuonya tu
Haha kupanga ni kuchagu.Habari wanajamvi,
Ule mkeka niliokua nausuka wa kumpa kampani Mama Mzungu naona umetiki make amekolea mpaka anasema hawezi kurudi Bulgaria bila mimi.
Nipo njia panda kati ya Bulgaria na chuo kipi niache kwanza.
Juzi kaniita kumpa kampani for the second time but amejaa mazima.
Hapo ni kujilipua bahati na sibu tu. Unaweza kwenda kule akakufanya kuwa Sex toy tuNenda ila angaliΓ usije kuwa her success ladder.... Hapo kuna mawili either zali la mentali kama baadhi wanavyokuambia au umechezewa ule mchezo wa kurushia kuku mahindi ili ajilete ndani....Hongera...,Shauri yako.
Haha ha ha
USIPORUDI NA FIGO MOJA NIDAI 200M BULGARIA?
HEHEHE NEVER FORGET
Moringe SSSWewe ulikuwa unasoma Engutoto Sec nini?
Kuna ile movie inaitwa GET OUT.Nenda ila angaliΓ usije kuwa her success ladder.... Hapo kuna mawili either zali la mentali kama baadhi wanavyokuambia au umechezewa ule mchezo wa kurushia kuku mahindi ili ajilete ndani....Hongera...,Shauri yako.
Mama au Babu wa Kizungu? Wenzio Marasta wa Arusha wanavaa pampaz bila kupendaHabari zenu wana JF
Juzi tar 26 nilileta Uzi hapa jamvini wa kumtafuna jimama wa kizungu
Na leo tarehe 28 amenitafuta tena anataka leo saa 11 jion niende kwake nikampe kampani kisa anafeel loneliness.
Naona kama bahati imeniangukia make juzijuzi tuu nimelizwa na binti wa kimeru
Now nipo najiandaa niende, baadae nitakuja hapa jamvini niwape mrejesho.
Kwanini wanavaa ?Mama au Babu wa Kizungu? Wenzio Marasta wa Arusha wanavaa pampaz bila kupenda
DAWASKO hakufai tena. Mabeberu wameshafanya yaoKwanini wanavaa ?
Wanataka kuendesha magari makaliTamaa zinawaponza.
Kutaka good life
Ngoja niingie now niitafute Ni horror?Kuna ile movie inaitwa GET OUT.
DAH haya mambo ya bahati nasibu acha kabisa
Ndio mkuu.Ngoja niingie now niitafute Ni horror?