Mama wa kizungu amenitafuta tena na leo anataka kampani yangu

Mama wa kizungu amenitafuta tena na leo anataka kampani yangu

Habari wanajamvi,

Ule mkeka niliokua nausuka wa kumpa kampani Mama Mzungu naona umetiki make amekolea mpaka anasema hawezi kurudi Bulgaria bila mimi.

Nipo njia panda kati ya Bulgaria na chuo kipi niache kwanza.

Juzi kaniita kumpa kampani for the second time but amejaa mazima.
Haha kupanga ni kuchagu.
 
Nenda ila angalià usije kuwa her success ladder.... Hapo kuna mawili either zali la mentali kama baadhi wanavyokuambia au umechezewa ule mchezo wa kurushia kuku mahindi ili ajilete ndani....Hongera...,Shauri yako.
Hapo ni kujilipua bahati na sibu tu. Unaweza kwenda kule akakufanya kuwa Sex toy tu
 
Usisahau kubeba bendera mkuu na usiwaangushe wanaume wenzio
 
Nenda ila angalià usije kuwa her success ladder.... Hapo kuna mawili either zali la mentali kama baadhi wanavyokuambia au umechezewa ule mchezo wa kurushia kuku mahindi ili ajilete ndani....Hongera...,Shauri yako.
Kuna ile movie inaitwa GET OUT.

DAH haya mambo ya bahati nasibu acha kabisa
 
Habari zenu wana JF

Juzi tar 26 nilileta Uzi hapa jamvini wa kumtafuna jimama wa kizungu

Na leo tarehe 28 amenitafuta tena anataka leo saa 11 jion niende kwake nikampe kampani kisa anafeel loneliness.

Naona kama bahati imeniangukia make juzijuzi tuu nimelizwa na binti wa kimeru

Now nipo najiandaa niende, baadae nitakuja hapa jamvini niwape mrejesho.
Mama au Babu wa Kizungu? Wenzio Marasta wa Arusha wanavaa pampaz bila kupenda
 
Dah hizo comment za wadau nimecheka sana, kweli watu wameshavurugwa na haya maisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja niingie now niitafute Ni horror?
Ndio mkuu.
Kuna black mmoja alipata zari la mentali la mtoto mzuri wa kizungu.

Dem anakaa kando ya mji jamaa anakaa mje mwingine,huyu demu wazazi wake ni matajiri sana na jumba lao la kifahari.

Wakapanga safari waende japokuwa jamaa alimuwa anasitasita ila wakaenda.

Walipofika kumbe ile nyumba yule demu anafanya kazi ya kujitongozesha kwa blacks then anawaleta pale wanauzwa hao wanaume kwa kazi mbalimbali wanafanywa na hao wazungu.

Jamaa kafika ukweni watu wanapiga mnada hii mali mpya ambae ni mshikaji,mshikaji hajui.

Ila akashtuka kuna mtu alikuwa anamjua alafu yule mtu yupo na bibi wa kizungu kama zezeta,na huyu jamaa ambaye nni kama zezeta alipotea juko uraiani kwa mazingira ya utata.

Jamaa akaanza kuusoma mchezo alipokuja kugundua kuwa annapigwa mnada kazi ikaanzia hapo sasa.

Jamaa anataka ajinasue kwenye jengo kubwa la wakatili,na hawa wakatili wameshtukia sasa wanafight asitoke hatari sana.
 
Back
Top Bottom