Mama wa kizungu amenitafuta tena na leo anataka kampani yangu

Habari zenu wana JF

Juzi tar 26 nilileta Uzi hapa jamvini wa kumtafuna jimama wa kizungu

Na leo tarehe 28 amenitafuta tena anataka leo saa 11 jion niende kwake nikampe kampani kisa anafeel loneliness.

Naona kama bahati imeniangukia make juzijuzi tuu nimelizwa na binti wa kimeru

Now nipo najiandaa niende, baadae nitakuja hapa jamvini niwape mrejesho.
Do the best of it mkuu
 
Mkuu usijali ARV ni bure tu kuu kwahiyo nenda katwange.
 
Habari zenu wana JF

Juzi tar 26 nilileta Uzi hapa jamvini wa kumtafuna jimama wa kizungu

Na leo tarehe 28 amenitafuta tena anataka leo saa 11 jion niende kwake nikampe kampani kisa anafeel loneliness.

Naona kama bahati imeniangukia make juzijuzi tuu nimelizwa na binti wa kimeru

Now nipo najiandaa niende, baadae nitakuja hapa jamvini niwape mrejesho.
Umelizwa na makaaya ,makisetu au manambwe?
 
Habari zenu wana JF

Juzi tar 26 nilileta Uzi hapa jamvini wa kumtafuna jimama wa kizungu

Na leo tarehe 28 amenitafuta tena anataka leo saa 11 jion niende kwake nikampe kampani kisa anafeel loneliness.

Naona kama bahati imeniangukia make juzijuzi tuu nimelizwa na binti wa kimeru

Now nipo najiandaa niende, baadae nitakuja hapa jamvini niwape mrejesho.

Usiulize umri wake aweza kuwa bibi yako. Wezetu laana ishawatafuna kabisa
 
Habari wanajamvi,

Ule mkeka niliokua nausuka wa kumpa kampani Mama Mzungu naona umetiki make amekolea mpaka anasema hawezi kurudi Bulgaria bila mimi.

Nipo njia panda kati ya Bulgaria na chuo kipi niache kwanza.

Juzi kaniita kumpa kampani for the second time but amejaa mazima.
 
Habari wanajamvi
Ule mkeka niliokua nausuka wa kumpa kampani Mama Mzungu naona umetiki make amekolea mpaka anasema hawezi kurudi Bulgaria bila Mimi.
Nipo njia panda Kati ya Bulgaria na chuo kipi niache kwanza.
Juzi kaniita kumpa kampani for the second time but amejaa mazima.

USIPORUDI NA FIGO MOJA NIDAI 200M BULGARIA?

HEHEHE NEVER FORGET
 
Back
Top Bottom