Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,133
Ushafika ahera?Huyu mwanamke ni mpuuzi kuliko hata vichaa wa milembe!
Nitegemea angekuwa na maneno kama haya "Nataka ni onane naye ni muombe radhi kwa kumtelekeza na kudai eti nilikuwa nimefariki"
Umaskini unamtelekeza mwanao kisa pesa ?
Nani amepata kuzikwa na hizi mali dunia? Nani kazikuta hizi mali huko ahera?
Wa kwetu ye hata michango alikula na hataki kuulizwa.acha jolie aendelee kuwa tajir kuna vitu anafanya hata Mungu anakuongezea sio unakuwa tajir unakomaa hata kimsaidia mtu akifa ndo unatoa gar na vyakula
Wa kwetu ye hata michango alikula na hataki kuulizwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hela zinawatoa watu utu,Wa kwetu ye hata michango alikula na hataki kuulizwa.
Ushafika ahera?
Baba wa huyo mtoto yuko wapi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115]Ni rahisi kumpata FARU JOHN lakini sio baba wa huyo mtoto na hautokuja kumsikia.
Ndio mjue sometimes nyie wanawake mnakua sio watuKWA kweli yaani
Huyo mtoto udogoni alikuwa hivyo nakapendaga kalivyo
Ila huyu mama yake mbona yeye yuko vizuri akamwacha mwanae vile jamani
Ndio mjue sometimes nyie wanawake mnakua sio watu
Ungejua kisa kizima hakika ungemuonea huruma zaid mama yakeNingekua ndio huyo mtoto wala nisingetaka sikia huyo anayejiita mama angu!!
Angelina na Brad Pitt walilijua hilo tangu 2007 ila hawakutaka kuwasiliana nae kwani walidanganywa.Kama mazingira yako hivyo-anahitaji nafasi ya kumweleza mwanae! Lakini muda wote mbona hakupaza sauti?
Kwa kuwa mtoto nae ni actress ipo siku atacheza filamu kuhusu maisha yake dedicated to her Mother.Mtoto lazima ipo siku atamfuata mama yake tu ili apate kusikia kisa kamili sio maneno ya kuambiwa na watu wengine. Mi nafikiri huyu mtoto ana bahati sana, angekulia maisha ya Orpanage Centre huko kwa Wahabesh saa hizi angekuwa mbuzi kalamba reli wala asingejulikana kama ni wa kike au wa kiume.
Toka lini mwanamke akawa baba?Je baba wa huyo mtoto alikuwa mwanamke pia?