Msimuandame huyo bi mkubwa hiyo nyuz inajitosheleza kukuelewesha kwann huyo bi mkubwa kamtoa mwanae kwa jolie,imagine huyo mtoto asinge asiliwa na mtu yeyote na angekuwa ktk hali gani kwa sasa,unataka kunambia angekuwa ktk hali bora zaidi aliyonayo sasa?wakumshukuru ni huyo mama kukubali mwanawe achukuliwe ila angeleta ishu za upendo kwa mtoto Zahara sasa ivi angekuwa anashindia kiporo cha ugali wa muhogo,asingesoma na angesha zaa watoto hata wawili kwa umri huo
Big up mama,kwa namna moja au nyingine umeshiriki vya kutosha ktk kumfanya mwanao aishi maisha ya raha anayoishi sasa ivi,wengi wetu humu tunamuonea wivu mwanao ndo maana tunakuponda ya kwamba hukuwa na mapenzi ya kweli na mwanao Kwa kumpa mzungu amlee
Naamini hukumtoa ili akapate shida,ila ulimtoa ili kumuepusha na shida na umefanikiwa..[emoji173] [emoji173] [emoji173]