Mama wa mtoto Zahara aliyeasiliwa na Angelina Jolie aomba kukutana na mwanae

Mama wa mtoto Zahara aliyeasiliwa na Angelina Jolie aomba kukutana na mwanae

Mwanamke ninaye mu admire baada ya Marehemu Whitney Houston

Hongera Jolie kwa kazi unayofanya ya kubadilisha maisha ya maskini na kurudisha matumani na upendo pale ambapo vyote havikuonekana
 
Msimuandame huyo bi mkubwa hiyo nyuz inajitosheleza kukuelewesha kwann huyo bi mkubwa kamtoa mwanae kwa jolie,imagine huyo mtoto asinge asiliwa na mtu yeyote na angekuwa ktk hali gani kwa sasa,unataka kunambia angekuwa ktk hali bora zaidi aliyonayo sasa?wakumshukuru ni huyo mama kukubali mwanawe achukuliwe ila angeleta ishu za upendo kwa mtoto Zahara sasa ivi angekuwa anashindia kiporo cha ugali wa muhogo,asingesoma na angesha zaa watoto hata wawili kwa umri huo
Big up mama,kwa namna moja au nyingine umeshiriki vya kutosha ktk kumfanya mwanao aishi maisha ya raha anayoishi sasa ivi,wengi wetu humu tunamuonea wivu mwanao ndo maana tunakuponda ya kwamba hukuwa na mapenzi ya kweli na mwanao Kwa kumpa mzungu amlee
Naamini hukumtoa ili akapate shida,ila ulimtoa ili kumuepusha na shida na umefanikiwa..[emoji173] [emoji173] [emoji173]
 
Shikamoo Angelina Jolie
e9a384424bd56e83e71ff3f4466278fb.jpg

Then
af902d4eb1f50c21249412b857288271.jpg

Then
fdbddd2f7bba3f3bc63d55665cb20356.jpg

Then
45c8c238745b581a8e7a3c42caa80d9a.jpg

Then
ca8200613cae88b6bde6b8f73b23d12d.jpg
 
Huyu mama wa kiswahili ni wa kutoka nchi gani
Umejuaje kuwa wa kiswahili huyu mama? Wacheni kupayuka ovyo hamjui mazingira yalivyokuwa mpaka mtoto akafika kwa Jolie, sit back and think before you provoke nonsense.
 
Back
Top Bottom