Wamama tunakufaga na watoto kibindoni jamani,huyu ilikuwaje?
Kuna dada mmoja ni kichaa akijifungua mtoto wake,kwa hali yake ya akili hakukaa kutulia na mtoto nyumbani kwao,kutokana na kuishi mazingira ya kula jalalani dada yake alipanga amchukue mtoto akamlee,lakini yule kichaa hakuwa anakubali hata kumuweka mwanaye chini,walimlia time akiwa amelala wakamuiba mtoto,alivyoshtuka akakuta mwanaye hayupo mziki wake ulikuwa mnene,alilia kilio kama mbwa akizunguka mtaa mzima kumtafuta mwanaye.
Sasa huyo dada aliywacha mpaka mtoto aasiliwe ana roho ya tofauti kabisa.