Mama wa mtoto Zahara aliyeasiliwa na Angelina Jolie aomba kukutana na mwanae

Mama wa mtoto Zahara aliyeasiliwa na Angelina Jolie aomba kukutana na mwanae

Hapa kuna siri nyuma ya pazia. huyo mama anajuta kwa kumtelekeza mwanaye na pengine hana mtoto mwingine zaidi ya huyo na anatamani wa kumwita mama angalau amkumbatie ana feel upweke. lakini all in all yote ni mipango ya Mungu.

Mtoto kama anajua amsamehe tu mama yake ampende. kama yeye Mungu alivyompenda na kumuasilisha kwa Jolie pengine ndio ilikua njia ya kuja kumsaidia mama yake baadae.
 
Wamama tunakufaga na watoto kibindoni jamani,huyu ilikuwaje?

Kuna dada mmoja ni kichaa akijifungua mtoto wake,kwa hali yake ya akili hakukaa kutulia na mtoto nyumbani kwao,kutokana na kuishi mazingira ya kula jalalani dada yake alipanga amchukue mtoto akamlee,lakini yule kichaa hakuwa anakubali hata kumuweka mwanaye chini,walimlia time akiwa amelala wakamuiba mtoto,alivyoshtuka akakuta mwanaye hayupo mziki wake ulikuwa mnene,alilia kilio kama mbwa akizunguka mtaa mzima kumtafuta mwanaye.

Sasa huyo dada aliywacha mpaka mtoto aasiliwe ana roho ya tofauti kabisa.
 
Nisingetaka hata kuona sura yake, aniache tu niendelee na maisha yngu! Alikuwa wap miaka yote hiyo ?
 
Mama avumilie tu binti akifikisha miaka 18 anaruhusiwa kuwasiliana na "biological parents" ila akitaka. Kwa sasa atamchanganya tu mtoto kwa umri huo, japo stori zinasema alikuwa mgonjwa sana na ukichanganya na balaa la kubakwa, aibu ya kupata ujauzito na umaskini wa kutupwa pengine familia haikufikiri mara mbili ikadanganya.


jolie-pitt-family-e1311356706552[1].jpg


Angelina na Brad wana watoto sita, watatu kati ya hao ni wa kuasili Zahara (Ethiopia), Madox (Cambodia) na Pax (Vietnam)

Anjelina-jolie_www.topnaz.com_-1[1].jpg


Hii ndio familia ya Zahara huko Ethiopia waendelee kumuombea tu inatosha

shiloh[1].jpg


Bond ya mzazi na mtoto hii ni muhimu sana wamuache mtoto akiwa mtu mzima ataamua mwenyewe kwa sasa mama yake ni Angelina.
 
Mkuu hili neno umelitumia vibaya, Baloteli angekuwa mmbongo akasikia umemuambia hili neno lazima angekutafuta akuoneshe ukweli ili ukasimulie.
Hahaha asante mdau maana kuna watu wazima humu wanajifanya watoto
 
Sio vibaya kuhitaji kumwona mwanae ila kwa umri alionao mtoto si vizuri inamchanganya sana kiakili, mama atulie mwanae akiwa mtu mzima lazima atahoji kujua ilikuwaje akawa member wa familia wakati hawafanani, na uzuri atakuta maelezo atakapo anza kusoma historia ya mama yake mlezi, so kama atahitaji kukutana na mama mzazi watakutanishwa tu ila sasa amwache mtoto ale maisha, yeyey aombe uzima wake na mwanae tu.
 
Kuwa na nidhamu kijana.
Aliyekwambia Wagonjwa wa akili Mirembe ni wapuuzi ni nani?

Mnadhalilisha wagonjwa kwa maneno yenu ya kihuni.
Angekuwa ndugu yako kule mirembe ungemuita mpuuzi.?

Watake radhi km wewe ni binaadamu unaeishi Tanzania.
Watu mnabadilika sana. Hongera sana Ustaadh Kahtaan.

Alah akupe Baraka kadiri ya mategemeo ya moyo wako.
 
Back
Top Bottom