Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa yuko Dodoma, ningeweza kufanya nae kazi....sema sijui yuko wapi.Mama mtu mzima ,umri miaka 40 anatafuta kazi ya usafi wa nyumba za kulala wageni ,au kazi yoyote halalI ajipatie kipato,.
MahalI popote pale hata kijijini.yupo tayari
Atakufanyia delivery....Kijijini popote,
Kwhy hata kama uko sumbawanga, kazi iko handeni utasafiri?
Kwa sasa Hana simu,ilipotea,Ila anaishi moshi
Hyo nauli ya kutoka moshi mpaka mbeya si bora afanye msingi wa karanga auzeYupo tayari, niambie aina ya kazi nimjulishe atafute nauli
Hajawez a kununua simu bado kwa sasa
Mwanamke wa 40yrs atunzwe na watoto wake? Atakuwa aliwazaa akiwa na umri gani? Bado ni mwanamke mdogo, ana nguvu nyingi za kujipambaniaHii dunia haipo fair kabisa.. huyo mama sasa hv alitakiwa atunzwe na watoto wake.. Roho imeniuma sana
Hii dunia haipo fair kabisa.. huyo mama sasa hv alitakiwa atunzwe na watoto wake.. Roho imeniuma sana