Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

Hapo kwa akili za kawaida unakuka chaapi, tatizo ni kwamba jambo kama Hilo jua tu Kuna siku litaharibika na litaharibikia pabaya utapoteza vingi.
 
Kwa maelezo yako ya mwisho useme tu unamtaka.
Hauwezi kutaka ushauri hapa unajua ni mama wa rafiki yako.
 
Ulipita JANDO......au ww ni wale walinyofolewa gozi hospital
 
Mkuu,
Usifanye, mishe za namna hiyo zina madhara makubwa mbeleni. Hata mimi jikiona dili la kula tam ni jepesi sana nakimbia haraka. Watu wana siri zao wanataka kuingiza wengine..
 
Wewe Bado ni Mvulana na Haufai kabisa. Sio bure hata mkeo akakuacha sababu huna kifua Cha mwanaume! Kwa jinsi ulivyaondika hapo Kila kitu umeweka bayana. Na nakuapia Rafiki Yako akisoma huu Uzi lazima atakua anajua ni wewe tu! Na hapo utakua umepoteza urafiki na uaminifu. Kwanini huna Koo la kutunza mambo kiutu uzima? Aidha ungemsaidia mama au pili ungekataa na ukae kimya sio kuleta huku tena kwa kufungua codes zote .
-kukaa nje
-kumjuza rafiki Yako
-kuachana na mke
-kufiwa Mume
-mfanyakazi halali
-mambo safi
-watoto kusafiri
-rafiki kutokuwepo
-miaka 51 ya umri
-kuwahi kuolewa.

Labda kama ni chai! Wavulana mna tabu sana
 
Usimchekelee tena,. Kata mawasiliano nae kabisa,.

uKiwa sitaki nataka ndio basi tena,. Mimama ya mjini ina mbinu nyingi sana
Kwanini..huyu kijana mwenzetu asichukue jukumu la kua MFARIJI WA WAJANE..

AMUONEE HURUMA MAMA..WAKAPIME THEN WAANZE KUCHAKATANA..

SEMA jamaa hajamuelewa mama atusaidie kuweka picha japo ya mfanamo hata ya MSAADA wa mtandao..
 
Mkuu,
SEMA TU HATARE YA WENGI NI GRIDI YA TAIFAA..
MA SUGAR MUMMY MENGI YANA UMEME..
Sema mwanaume rijali huwa halazi damu..

Mimi pia primary, secondary, chuoni nilikuaga napataga bahati ya kupendwa...Ila na watu nisio na hisia nao huwa tunaishia urafiki wa kawaida mpaka washikaji hunishangaa Sanaa..
 
Hii stori yako kama sio ya kutunga basi kuna ukweli kidogo na uongo mwingi.... Na hakukua na haja ya kuwataka ushauri watanzania kwenye hoja nyepesi kama hii ambayo ungeweza kuitolea maamuzi wewe mwenyewe....usirudie tena Siku nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…