Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

Hapo kwa akili za kawaida unakuka chaapi, tatizo ni kwamba jambo kama Hilo jua tu Kuna siku litaharibika na litaharibikia pabaya utapoteza vingi.
 
Wakuu habari zenu.

Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka. Mambo yalienda poa, nikawa nimepanga nitatembelea jamaa na marafiki baada ya Christmas ili kuwajulia hali kwa kuwa wengi wao nina muda mrefu sana sijaonana nao.

Baada ya Christmas, siku ya boxing day niliona nianze kwa kwenda kumsalimu mama wa rafiki yangu, ambae kwangu pia ni kama mama kwa kipindi cha nyuma nilikuwa nikienda pale pamoja na mwanae na anatambua harakati zetu pia. Hata kipindi napatwa changamoto za kimahusiano na mke wangu tulieachana, kuna mawili matatu alinipa ili kunitia moyo.

Nilienda kwake huku nikijua fika rafiki yangu hayupo mkoa huu, niliwasiliana nae na nilikwishamwambia kuwa nitaenda kwa ajili ya kumsalimu mama.

Kweli nilifika, tukawa tumesalimiana na kujuliana hali na habari za siku ambazo hatukuwa tumeonana, ni muda mrefu sana. Tuliongea mengi sana. Ni mwanamke mjane, nilimkuta akiwa mwenyewe na mfanya kazi kuwa baadhi ya vijana wake wapo safari pia kwa ajili ya sherehe na mambo mengine mengine. Yule nilikuja kujua halali pale, baada ya kazi zake jioni huondoka. Kiuchumi ni mama ambae hayuko vibaya.

Tulikaa hadi jioni, majira kama saa 12:30 yule mtu wa kazi akawa ameaga na kuondoka. Baada ya kutoka, mama aliniuliza kinywaji kipi nitatumia mbali na juice ambayo nilikuwa nikinywa muda wote wa maongezi, nikamwambia najihisi niko sawa, na Kwa kuwa muda nao pia ulikuwa umesogea nikawa naomba kuondoka. Aliniambia subiri akawa ametoka kidogo, ila mazingira ya maongezi safari hii nikawa naona yapo tofauti na ilivyokuwa wakati kipindi ambacho yule alikuwepo. Hofu ikaanza kunitanda. Alirudi na bia, akawa kanikaribisha na kuniambia kwanini nisifanye mpango wa kulala tu, maana pale ni kama nyumbani, nitie baraka pia. Nikamwambia mama, nashukuru kwa leo, nadhani siku nyingine nitafanya hivyo kwa kuwa leo sikuwa na ratiba ya kulala sehemu yoyote.

Huwa nakunywa pombe mara kwa mara, ila sikutaka kufanya hivyo tena nikiwa na mtu ambae ni Mama wa rafiki yangu tunaeheshimiana, Muda huo akiwa alishaanza kunywa polepole. Baada ya story zikaanza kuwa nyingi nadhani muda huo ulikuwa zishaanza kukolea, akigusia suala la upweke wake tangu mumewe afariki. Taa nyekundu ikaanza kuwaka kichwani kwangu, iweje mama yule aeleze mambo kama hayo kwangu? Nikajipa faraja tu kuwa huenda kaanza kulewa. Kibaya zaidi ni alipoanza kuniacha kuwa nimeshakuwa sasa na mambo mengi nayajua na kuniuliza kama nilioa tena baada ya kuachana na wife. Ikabidi niage kabla mambo hayajaharibika.

Alinisihi kubaki kwa usiku huo, inaelekea saa 3 sasa ila nilikataa kabisa. Basi akawa kaniomba namba nikawa nimempatia kwakuwa hakuwa nazo, nikaondoka.

Tangu nilipompa namba, usiku wa siku hiyo mambo ndipo yalipoanzia. Alinipigia simu usiku ule na tuliongea sana akawa anajifanya kuomba msamaha kwa kuniletea pombe ila nikamwambia asijali, story kibao za kilevi ila mambo deep sana nikakata simu. Akawa anapiga ila nilipuuza simu zake na sms. Siku iliyofuata mambo yakaenda hivyohivyo, ikawa ni simu ikawa ni sms hadi usiku mnene ni kupiga tu. Sijui ujasiri kaupata wapi.

Siku ya mkesha wa mwaka mpya alinitafuta pia tukaongea na aliniambia kama sitojali nikamtembelee asiwe peke yake. Ni kama nilishaanza kuzoea sasa maongezi yake, ila nilikataa. Alilalamika na kusema, kwa umri nilio nao alitegemea ningeweza kung'amua kila anachojaribu kufanya lakini kwanini nakuwa kama mtoto? Anadai anajihisi aibu na anashindwa kuinua sura yake kwa kuwa mambo yameenda kinyume na alivyofikiri ingekuwa. Kafanya hivyo sababu ya hisia zake tu nae, alihitaji mtu wa kumliwaza sababu ya upweke, kahisi mimi naweza kuwa sahihi kwake kumsaidia juu ya hilo na ninaweza kutunza siri ndio maana kanieleza... Sasa anahisi aibu, atanitazama vipi, ni kama kajidhalilisha. Anaongea kwa uchungu sana hadi roho inaniuma.

Jana kaniambia niseme hata wapi twende, mbali kidogo walau tuongee huenda nitamwelewa, kama hilo litanishinda basi tuangalie namna ya kurudisha hali ya mwanzo kabla ya haya yote. She's 51 now na mwonekano wake ni mzuri kwa kuwa maisha yako poa kwake. Ni mama wa kimjini mjini na ni aliwahi tu kuolewa.

Ushauri wa busara, nini nifanye? Nivunje line husika au? Najisikia huzuni mwanae nawasiliana nae and he's my best friend. Ninawezaje kufanya hivyo? Je, ikiwa atajua kinachoendelea?

Nitaleta mrejesho nikienda kukutana nae
Kwa maelezo yako ya mwisho useme tu unamtaka.
Hauwezi kutaka ushauri hapa unajua ni mama wa rafiki yako.
 
Wakuu habari zenu.

Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka. Mambo yalienda poa, nikawa nimepanga nitatembelea jamaa na marafiki baada ya Christmas ili kuwajulia hali kwa kuwa wengi wao nina muda mrefu sana sijaonana nao.

Baada ya Christmas, siku ya boxing day niliona nianze kwa kwenda kumsalimu mama wa rafiki yangu, ambae kwangu pia ni kama mama kwa kuwa kipindi cha nyuma nilikuwa nikienda pale pamoja na mwanae na anatambua harakati zetu pia. Hata kipindi napatwa changamoto ya kimahusiano na mke wangu tulieachana, kuna mawili matatu alinipa ili kunitia moyo.

Nilienda kwake huku nikijua fika rafiki yangu hayupo mkoa huu, niliwasiliana nae na nilikwishamwambia kuwa nitaenda kwa ajili ya kumsalimu mama.

Kweli nilifika, tukawa tumesalimiana na kujuliana hali na habari za siku ambazo hatukuwa tumeonana, ni muda mrefu sana. Tuliongea mengi sana. Ni mwanamke mjane, nilimkuta akiwa mwenyewe na mfanya kazi kwa kuwa baadhi ya vijana wake wapo safari pia kwa ajili ya sherehe na mambo yao mengine. Yule mfanyakazi nilikuja kujua halali pale, baada ya kazi zake jioni huondoka. Kiuchumi ni mama ambae hayuko vibaya.

Tulikaa hadi jioni, majira kama saa 12:30 yule mtu wa kazi akawa ameaga na kuondoka. Baada ya kutoka, mama aliniuliza kinywaji kipi nitatumia mbali na juice ambayo nilikuwa nikinywa muda wote wa maongezi, nikamwambia najihisi niko sawa, na Kwa kuwa muda nao pia ulikuwa umesogea nikawa naomba kuondoka. Aliniambia subiri akawa ametoka kidogo, ila mazingira ya maongezi safari hii nikawa naona yapo tofauti na ilivyokuwa kipindi ambacho mfanyakazi yule yule alikuwepo. Hofu ikaanza kunitanda. Alirudi na bia, akawa kanikaribisha na kuniambia kwanini nisifanye mpango wa kulala tu, maana pale ni kama nyumbani, nitie baraka pia. Nikamwambia mama, nashukuru kwa leo, nadhani siku nyingine nitafanya hivyo kwa kuwa leo sikuwa na ratiba ya kulala sehemu yoyote.

Huwa nakunywa pombe occasionally, ila sikutaka kufanya hivyo tena nikiwa na mtu ambae ni Mama wa rafiki yangu tunaeheshimiana, Muda huo yeye akiwa alishaanza kunywa polepole. Baada ya muda story zikaanza kuwa nyingi nadhani zilikuwa zishaanza kukolea, akigusia suala la upweke wake tangu mumewe afariki. Taa nyekundu ikaanza kuwaka kichwani kwangu, iweje mama yule aeleze mambo kama hayo kwangu? Nikajipa faraja tu kuwa huenda kaanza kulewa. Kibaya zaidi ni alipoanza kunisifu kuwa nimeshakuwa sasa na mambo mengi nayajua na kuniuliza kama nilioa tena baada ya kuachana na wife. Ikabidi niage kabla mambo hayajaharibika.

Alinisihi kubaki kwa usiku huo, inaelekea saa 3 sasa ila nilikataa kabisa. Basi akawa kaniomba namba nikawa nimempatia kwakuwa hakuwa nazo, nikaondoka.

Tangu nilipompa namba, usiku wa siku hiyo mambo ndipo yalipoanzia. Alinipigia simu usiku ule na tuliongea sana akawa anajifanya kuniomba msamaha kwa kuniletea pombe ila nikamwambia asijali, story kibao za kilevi ila mambo deep sana nikakata simu. Akawa anapiga ila nilipuuza simu zake na sms. Siku iliyofuata mambo yakaenda hivyohivyo, ikawa ni simu ikawa ni sms hadi usiku mnene ni kupiga tu. Sijui ujasiri kaupata wapi.

Siku ya mkesha wa mwaka mpya alinitafuta pia tukaongea na aliniambia kama sitojali nikamtembelee asiwe peke yake. Ni kama nilishaanza kuzoea sasa maongezi yake, ila nilikataa. Alilalamika na kusema, kwa umri nilio nao alitegemea ningeweza kung'amua kila anachojaribu kufanya lakini kwanini nakuwa kama mtoto? Anadai anajihisi aibu na anashindwa kuinua sura yake kwa kuwa mambo yameenda kinyume na alivyofikiri ingekuwa. Kafanya hivyo sababu ya hisia zake tu nae, alihitaji mtu wa kumliwaza sababu ya upweke, kahisi mimi naweza kuwa sahihi kwake kumsaidia juu ya hilo na ninaweza kutunza siri ndio maana kanieleza... Sasa anahisi aibu, atanitazama vipi, ni kama kajidhalilisha. Anaongea kwa uchungu sana hadi roho inaniuma.

Jana kaniambia niseme hata wapi twende, mbali kidogo walau tuongee huenda nitamwelewa, kama hilo litanishinda basi tuangalie namna ya kurudisha hali ya mwanzo kabla ya haya yote. She's 51 now na mwonekano wake ni mzuri kwa kuwa maisha yako poa kwake. Ni mama wa kimjini mjini na ni aliwahi tu kuolewa.

Ushauri wa busara, nini nifanye? Nivunje line husika au? I feel sad mwanae nawasiliana nae and he's my best friend. How can I do that? What if he'll get to know what's going on?

Nitaleta mrejesho nikienda kukutana nae
Ulipita JANDO......au ww ni wale walinyofolewa gozi hospital
 
Mkuu,
Usifanye, mishe za namna hiyo zina madhara makubwa mbeleni. Hata mimi jikiona dili la kula tam ni jepesi sana nakimbia haraka. Watu wana siri zao wanataka kuingiza wengine..
 
Wewe Bado ni Mvulana na Haufai kabisa. Sio bure hata mkeo akakuacha sababu huna kifua Cha mwanaume! Kwa jinsi ulivyaondika hapo Kila kitu umeweka bayana. Na nakuapia Rafiki Yako akisoma huu Uzi lazima atakua anajua ni wewe tu! Na hapo utakua umepoteza urafiki na uaminifu. Kwanini huna Koo la kutunza mambo kiutu uzima? Aidha ungemsaidia mama au pili ungekataa na ukae kimya sio kuleta huku tena kwa kufungua codes zote .
-kukaa nje
-kumjuza rafiki Yako
-kuachana na mke
-kufiwa Mume
-mfanyakazi halali
-mambo safi
-watoto kusafiri
-rafiki kutokuwepo
-miaka 51 ya umri
-kuwahi kuolewa.

Labda kama ni chai! Wavulana mna tabu sana
 
Usimchekelee tena,. Kata mawasiliano nae kabisa,.

uKiwa sitaki nataka ndio basi tena,. Mimama ya mjini ina mbinu nyingi sana
Kwanini..huyu kijana mwenzetu asichukue jukumu la kua MFARIJI WA WAJANE..

AMUONEE HURUMA MAMA..WAKAPIME THEN WAANZE KUCHAKATANA..

SEMA jamaa hajamuelewa mama atusaidie kuweka picha japo ya mfanamo hata ya MSAADA wa mtandao..
 
Nilishakutana na mama kama huyo yupo 65yrs Ila sasa mara Leo atakwambia hensamu boi.....

Kesho umekula nn Kama wali naye atakula wali....

Mara unafanana na mume wangu, alikuwa km wewe......

Ukienda kwake, unamkuta kajifunga kikoii Tena vidogo vyenye twiga, au ni mistarii ya Gucci hivi

Ukizingatia ni rafiki wa familia...
Mkuu,
SEMA TU HATARE YA WENGI NI GRIDI YA TAIFAA..
MA SUGAR MUMMY MENGI YANA UMEME..
Sema mwanaume rijali huwa halazi damu..

Mimi pia primary, secondary, chuoni nilikuaga napataga bahati ya kupendwa...Ila na watu nisio na hisia nao huwa tunaishia urafiki wa kawaida mpaka washikaji hunishangaa Sanaa..
 
Wakuu habari zenu.

Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka. Mambo yalienda poa, nikawa nimepanga nitatembelea jamaa na marafiki baada ya Christmas ili kuwajulia hali kwa kuwa wengi wao nina muda mrefu sana sijaonana nao.

Baada ya Christmas, siku ya boxing day niliona nianze kwa kwenda kumsalimu mama wa rafiki yangu, ambae kwangu pia ni kama mama kwa kuwa kipindi cha nyuma nilikuwa nikienda pale pamoja na mwanae na anatambua harakati zetu pia. Hata kipindi napatwa changamoto ya kimahusiano na mke wangu tulieachana, kuna mawili matatu alinipa ili kunitia moyo.

Nilienda kwake huku nikijua fika rafiki yangu hayupo mkoa huu, niliwasiliana nae na nilikwishamwambia kuwa nitaenda kwa ajili ya kumsalimu mama.

Kweli nilifika, tukawa tumesalimiana na kujuliana hali na habari za siku ambazo hatukuwa tumeonana, ni muda mrefu sana. Tuliongea mengi sana. Ni mwanamke mjane, nilimkuta akiwa mwenyewe na mfanya kazi kwa kuwa baadhi ya vijana wake wapo safari pia kwa ajili ya sherehe na mambo yao mengine. Yule mfanyakazi nilikuja kujua halali pale, baada ya kazi zake jioni huondoka. Kiuchumi ni mama ambae hayuko vibaya.

Tulikaa hadi jioni, majira kama saa 12:30 yule mtu wa kazi akawa ameaga na kuondoka. Baada ya kutoka, mama aliniuliza kinywaji kipi nitatumia mbali na juice ambayo nilikuwa nikinywa muda wote wa maongezi, nikamwambia najihisi niko sawa, na Kwa kuwa muda nao pia ulikuwa umesogea nikawa naomba kuondoka. Aliniambia subiri akawa ametoka kidogo, ila mazingira ya maongezi safari hii nikawa naona yapo tofauti na ilivyokuwa kipindi ambacho mfanyakazi yule yule alikuwepo. Hofu ikaanza kunitanda. Alirudi na bia, akawa kanikaribisha na kuniambia kwanini nisifanye mpango wa kulala tu, maana pale ni kama nyumbani, nitie baraka pia. Nikamwambia mama, nashukuru kwa leo, nadhani siku nyingine nitafanya hivyo kwa kuwa leo sikuwa na ratiba ya kulala sehemu yoyote.

Huwa nakunywa pombe occasionally, ila sikutaka kufanya hivyo tena nikiwa na mtu ambae ni Mama wa rafiki yangu tunaeheshimiana, Muda huo yeye akiwa alishaanza kunywa polepole. Baada ya muda story zikaanza kuwa nyingi nadhani zilikuwa zishaanza kukolea, akigusia suala la upweke wake tangu mumewe afariki. Taa nyekundu ikaanza kuwaka kichwani kwangu, iweje mama yule aeleze mambo kama hayo kwangu? Nikajipa faraja tu kuwa huenda kaanza kulewa. Kibaya zaidi ni alipoanza kunisifu kuwa nimeshakuwa sasa na mambo mengi nayajua na kuniuliza kama nilioa tena baada ya kuachana na wife. Ikabidi niage kabla mambo hayajaharibika.

Alinisihi kubaki kwa usiku huo, inaelekea saa 3 sasa ila nilikataa kabisa. Basi akawa kaniomba namba nikawa nimempatia kwakuwa hakuwa nazo, nikaondoka.

Tangu nilipompa namba, usiku wa siku hiyo mambo ndipo yalipoanzia. Alinipigia simu usiku ule na tuliongea sana akawa anajifanya kuniomba msamaha kwa kuniletea pombe ila nikamwambia asijali, story kibao za kilevi ila mambo deep sana nikakata simu. Akawa anapiga ila nilipuuza simu zake na sms. Siku iliyofuata mambo yakaenda hivyohivyo, ikawa ni simu ikawa ni sms hadi usiku mnene ni kupiga tu. Sijui ujasiri kaupata wapi.

Siku ya mkesha wa mwaka mpya alinitafuta pia tukaongea na aliniambia kama sitojali nikamtembelee asiwe peke yake. Ni kama nilishaanza kuzoea sasa maongezi yake, ila nilikataa. Alilalamika na kusema, kwa umri nilio nao alitegemea ningeweza kung'amua kila anachojaribu kufanya lakini kwanini nakuwa kama mtoto? Anadai anajihisi aibu na anashindwa kuinua sura yake kwa kuwa mambo yameenda kinyume na alivyofikiri ingekuwa. Kafanya hivyo sababu ya hisia zake tu nae, alihitaji mtu wa kumliwaza sababu ya upweke, kahisi mimi naweza kuwa sahihi kwake kumsaidia juu ya hilo na ninaweza kutunza siri ndio maana kanieleza... Sasa anahisi aibu, atanitazama vipi, ni kama kajidhalilisha. Anaongea kwa uchungu sana hadi roho inaniuma.

Jana kaniambia niseme hata wapi twende, mbali kidogo walau tuongee huenda nitamwelewa, kama hilo litanishinda basi tuangalie namna ya kurudisha hali ya mwanzo kabla ya haya yote. She's 51 now na mwonekano wake ni mzuri kwa kuwa maisha yako poa kwake. Ni mama wa kimjini mjini na ni aliwahi tu kuolewa.

Ushauri wa busara, nini nifanye? Nivunje line husika au? I feel sad mwanae nawasiliana nae and he's my best friend. How can I do that? What if he'll get to know what's going on?

Nitaleta mrejesho nikienda kukutana nae
Hii stori yako kama sio ya kutunga basi kuna ukweli kidogo na uongo mwingi.... Na hakukua na haja ya kuwataka ushauri watanzania kwenye hoja nyepesi kama hii ambayo ungeweza kuitolea maamuzi wewe mwenyewe....usirudie tena Siku nyingine.
 
Back
Top Bottom