Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

Nilishakutana na mama kama huyo yupo 65yrs Ila sasa mara Leo atakwambia hensamu boi.....

Kesho umekula nn Kama wali naye atakula wali....

Mara unafanana na mume wangu, alikuwa km wewe......

Ukienda kwake, unamkuta kajifunga kikoii Tena vidogo vyenye twiga, au ni mistarii ya Gucci hivi

Ukizingatia ni rafiki wa familia...
Aseee vipi ulimtafuna!
 
Mfisi ndo huwa tunaona nyuzi kama hz,hao unawataka hutawaona kwenye hz nyuz

Madaktar wanaendelea kupuruviwa wrong,eti mwanamke akifisha sjui umri fulani libido zinakata au zinapungua,kumbe sio kweli

Bila shaka mungu alivyotuumba,starehe kubwa kabisa aliyotupa ni kugegedana,haiwezekan mama wa 51 kuulilia mjegejo
Mama wa watu yaan kakosa kabisa inshu nyingine ya kufanya zaidi ya kuliwa
Hahaha
 
Wakuu habari zenu.

Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka. Mambo yalienda poa, nikawa nimepanga nitatembelea jamaa na marafiki baada ya Christmas ili kuwajulia hali kwa kuwa wengi wao nina muda mrefu sana sijaonana nao.

Baada ya Christmas, siku ya boxing day niliona nianze kwa kwenda kumsalimu mama wa rafiki yangu, ambae kwangu pia ni kama mama kwa kuwa kipindi cha nyuma nilikuwa nikienda pale pamoja na mwanae na anatambua harakati zetu pia. Hata kipindi napatwa changamoto ya kimahusiano na mke wangu tulieachana, kuna mawili matatu alinipa ili kunitia moyo.

Nilienda kwake huku nikijua fika rafiki yangu hayupo mkoa huu, niliwasiliana nae na nilikwishamwambia kuwa nitaenda kwa ajili ya kumsalimu mama.

Kweli nilifika, tukawa tumesalimiana na kujuliana hali na habari za siku ambazo hatukuwa tumeonana, ni muda mrefu sana. Tuliongea mengi sana. Ni mwanamke mjane, nilimkuta akiwa mwenyewe na mfanya kazi kwa kuwa baadhi ya vijana wake wapo safari pia kwa ajili ya sherehe na mambo yao mengine. Yule mfanyakazi nilikuja kujua halali pale, baada ya kazi zake jioni huondoka. Kiuchumi ni mama ambae hayuko vibaya.

Tulikaa hadi jioni, majira kama saa 12:30 yule mtu wa kazi akawa ameaga na kuondoka. Baada ya kutoka, mama aliniuliza kinywaji kipi nitatumia mbali na juice ambayo nilikuwa nikinywa muda wote wa maongezi, nikamwambia najihisi niko sawa, na Kwa kuwa muda nao pia ulikuwa umesogea nikawa naomba kuondoka. Aliniambia subiri akawa ametoka kidogo, ila mazingira ya maongezi safari hii nikawa naona yapo tofauti na ilivyokuwa kipindi ambacho mfanyakazi yule yule alikuwepo. Hofu ikaanza kunitanda. Alirudi na bia, akawa kanikaribisha na kuniambia kwanini nisifanye mpango wa kulala tu, maana pale ni kama nyumbani, nitie baraka pia. Nikamwambia mama, nashukuru kwa leo, nadhani siku nyingine nitafanya hivyo kwa kuwa leo sikuwa na ratiba ya kulala sehemu yoyote.

Huwa nakunywa pombe occasionally, ila sikutaka kufanya hivyo tena nikiwa na mtu ambae ni Mama wa rafiki yangu tunaeheshimiana, Muda huo yeye akiwa alishaanza kunywa polepole. Baada ya muda story zikaanza kuwa nyingi nadhani zilikuwa zishaanza kukolea, akigusia suala la upweke wake tangu mumewe afariki. Taa nyekundu ikaanza kuwaka kichwani kwangu, iweje mama yule aeleze mambo kama hayo kwangu? Nikajipa faraja tu kuwa huenda kaanza kulewa. Kibaya zaidi ni alipoanza kunisifu kuwa nimeshakuwa sasa na mambo mengi nayajua na kuniuliza kama nilioa tena baada ya kuachana na wife. Ikabidi niage kabla mambo hayajaharibika.

Alinisihi kubaki kwa usiku huo, inaelekea saa 3 sasa ila nilikataa kabisa. Basi akawa kaniomba namba nikawa nimempatia kwakuwa hakuwa nazo, nikaondoka.

Tangu nilipompa namba, usiku wa siku hiyo mambo ndipo yalipoanzia. Alinipigia simu usiku ule na tuliongea sana akawa anajifanya kuniomba msamaha kwa kuniletea pombe ila nikamwambia asijali, story kibao za kilevi ila mambo deep sana nikakata simu. Akawa anapiga ila nilipuuza simu zake na sms. Siku iliyofuata mambo yakaenda hivyohivyo, ikawa ni simu ikawa ni sms hadi usiku mnene ni kupiga tu. Sijui ujasiri kaupata wapi.

Siku ya mkesha wa mwaka mpya alinitafuta pia tukaongea na aliniambia kama sitojali nikamtembelee asiwe peke yake. Ni kama nilishaanza kuzoea sasa maongezi yake, ila nilikataa. Alilalamika na kusema, kwa umri nilio nao alitegemea ningeweza kung'amua kila anachojaribu kufanya lakini kwanini nakuwa kama mtoto? Anadai anajihisi aibu na anashindwa kuinua sura yake kwa kuwa mambo yameenda kinyume na alivyofikiri ingekuwa. Kafanya hivyo sababu ya hisia zake tu nae, alihitaji mtu wa kumliwaza sababu ya upweke, kahisi mimi naweza kuwa sahihi kwake kumsaidia juu ya hilo na ninaweza kutunza siri ndio maana kanieleza... Sasa anahisi aibu, atanitazama vipi, ni kama kajidhalilisha. Anaongea kwa uchungu sana hadi roho inaniuma.

Jana kaniambia niseme hata wapi twende, mbali kidogo walau tuongee huenda nitamwelewa, kama hilo litanishinda basi tuangalie namna ya kurudisha hali ya mwanzo kabla ya haya yote. She's 51 now na mwonekano wake ni mzuri kwa kuwa maisha yako poa kwake. Ni mama wa kimjini mjini na ni aliwahi tu kuolewa.

Ushauri wa busara, nini nifanye? Nivunje line husika au? I feel sad mwanae nawasiliana nae and he's my best friend. How can I do that? What if he'll get to know what's going on?

Nitaleta mrejesho nikienda kukutana nae

MREJESHO

Wakuu kwema?
Nashukuru nilipokea maoni yenu ingawa wapo waliodhihaki na kucomment negative lakini bado haiwezi kubadili uhalisia as long we don't know each others. Nilienda na ushauri wa wale waliosema nikutane nae na nimchane direct.

Tulipanga appointment nae kama ambavyo mwanzo alipendekeza kuhusu kukutana nae na ikawa hivyo jumamosi jioni, nilikosea pakubwa sana sababu alinizidi maarifa nikajikuta NAMLA kwa usiku ule mzima

Tulikutana sehemu X ambapo niliona kabla ya kumpa makavu ninywe bia mbili tatu kukata mishipa ya aibu ili niwe najiamini kipindi nitakapokuwa namweleza ukweli. Katikati ya maongezi nae, sijui ni point ipi aliyonizidia, may be experience na umri wake nilijikuta nashindwa kutimiza lengo langu badala yake nikajikuta nimefanyanae mapenzi kwa ule usiku mzima, hadi saa 11 alfajiri.

Tokea hapo sasa ndio imekuwa changamoto, usumbufu na kasi ya kunitafuta umeongezeka sana. Imefikia hatua sasa kaanza kujibebisha na anabehave kama mtoto. Treatment na care anayonipa pia ni mtihani upande wangu. Najikuta naanza kuzama ingawa najitahidi isiwe hivyo ili nisiharibu zaidi. Imefikia muda kila anaponihitaji najikuta sina pingamizi, namkubalia na tunafanya vile anavyohitaji. Imefika mara tatu sasa nampelekea moto. Kwa dalili zilivyo ni kama tayari amefika, hana mpango wa kutafuta bwana wa rika lake. Cha ajabu anasema hata nikioa niendelee kumpa dozi nisimuache.

Kwa upande fulani najihisi hatia lakini sina namna. Nitaangalia namna nyingine ya kumpiga chini lia ngoja niendelee kujipigia.

I feel sorry for those who adviced me not to do it but I refused
😠
 
Nilikutana na mama mkubwa yaani anakuwa kama na 34 mimi nilikuwa na 18 ananipa hela nini anatak nimule alafu bonge tako kubwa aisee ila ule mtego nilikata kata kata ...
kumbe ameungua na ukimwi aisee alimaliz vijana wa mtaa kwa ngoma ila mimi hakunipata maan nilikuwa sinaga hisia na mademu makubwa kabisa madada na wake za watu walikuwa wananipend sana lakin hiyo mitego sikuingia sijui ilikuaje muonekana wangu nazani nilikuwa nawwvutia sana ila wanawake sijui ni viumbe gani
Bahati yako
 
Mwanaume jifunze kukabili vitu vidogo vidogo vya kawaida kama hivi Tena jifunze Siri na kupotezea vitu vidogo sio inshu sana hata mwenye ELIMU ya darasa la Saba anachanganua Hilo jambo
Hahaha
 
Hata Mimi hicho nilikinotice japo sina uhakika

Mama mtu mzima..... 65yrs lkn ana shepu nzuri kama binti....

Japo nawapenda mabinti wenye umbo km huyo bi maza lakini aseeh 😂 ni changamoto

Nakumbuka mlinzi anayelinda home kwake akalalamika ofisini bi maza kukaa uchi.... Yeye mwendo wa kikoi afu na nne anakunja hahaha....

Jamaa akaambiwa a focus na kazi hamna namna

Sasa yule uzungu unamzidi
Hahaha usikute mlinzi alimla
 
Wewe ndio Fala,Mwanamke Hana mume,na wewe ni mtu mzima!.unakaa kwake mpaka usiku mlikuwa mnaongea nini?
Wewe ndio umemtia nyege,Fanya ukamtoe lock huyo mama upate thawabu.
Wamama kama hao ni salamu tu Kisha unapita kushoto,wewe unaenda unakaa mpaka jioni halafu unatafuta ushauri huku!
Hahaha
 
Back
Top Bottom