Sasa ulitakaje? Wawe kula kulala... kuna watu hawawezi kukaa bila kufanya kazi hata kama watoto wao wanawapa hela.Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Kuna jirani zetu walimleta bibi yao town kutokea njombe baada ya muda mfupi akafariki..hakuzoea maisha ya kukaa tu kama yai.. wakabaki wanalaumiana.. Bibi alivyokuwa kijijini alikuwa analima freshi tu