Sasa ulitakaje? Wawe kula kulala... kuna watu hawawezi kukaa bila kufanya kazi hata kama watoto wao wanawapa hela.
Kuna jirani zetu walimleta bibi yao town kutokea njombe baada ya muda mfupi akafariki..hakuzoea maisha ya kukaa tu kama yai.. wakabaki wanalaumiana.. Bibi alivyokuwa kijijini alikuwa analima freshi tu