SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Hakika mama huyu Sophia Mjema Anakwenda kuziteka na kuzitawala siasa za nchi hii, wapinzani wanakwenda kuweka mikono mgongoni na kushusha sura zao chini Kama Taa iliyokwisha mafuta.
... Naamini ya bwana Lucas, manake mifupa inayotupwa humu jamvini baada ya Ripoti ya Mkaguzi mkuu wa Serikali CAG kutoka, imekuwa hatare.Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Babuu, ni mifupa tunayolishwa humu.....haina nyama babu, kila kona utasikia nape hili, mbowe lile Kamati imekaa kadha wa kadha.... yaani huyu mama ni hodari kuliko...nyuma huko... hauoni Ripoti ya CAG wala nini.....Ina maana anafanya kazi mara kumi na tano ya Shaka Hamidu Shaka.Wazandiki wakuuu!!!
Watu hataree Sana nyie Pangu pakavu tia mchuzi
Chawa kaziniSio mwingine, bali ni Katibu Muenezi wa sasa CCM Sophia Mjema.
Ni mnukuu Bwana Lucas
....naamini ya bwana Lucas, manake mifupa inayotupwa humu jamvini baada ya Ripoti ya Mkaguzi mkuu wa Serikali CAG kutoka, imekuwa hatare.
Mama Sophia Mjema anastahili pongezi kweli kweli.
Japo kila Mwanamke anaweza kuitwa Mama, lakini maadam title ya Mama kwa Tanzania sasa tayari ni synonyms ya mtu mmoja tuu aneyeitwa Mama, nashauri Mama abaki mmoja tuu!, Mama Samia, kama ilivyo kwa Baba wa Taifa ni mmoja tuu.Sio mwingine, bali ni Katibu Muenezi wa sasa CCM Sophia Mjema.
Ni mnukuu Bwana Lucas
... Naamini ya bwana Lucas, manake mifupa inayotupwa humu jamvini baada ya Ripoti ya Mkaguzi mkuu wa Serikali CAG kutoka, imekuwa hatare.
Mama Sophia Mjema anastahili pongezi kweli kweli.
CHADEMA mnaepigwa vitu vizito na Mama Sophia Mjema....kila mkipandisha CAG report mnatupiwa fupa lililochovywa na asali, mnamumunya mumunya weee mnachanganyikiwa kabisa mnasahau mpo CCM au CHADEMA isitoshe, hata bwana Mkubwa hapigi picha Ufipa sikuhizi ila pale waiting room Ikulu!Chawa kazini
Kiboko wa CHADEMAMajina yote hayo yakumlegeza aidha upigaji, cheo au kulamba asali
Nimekupata Kaka. Nimepokea.Japo kila Mwanamke anaweza kuitwa Mama, lakini maadam title ya Mama kwa Tanzania sasa tayari ni synonyms ya mtu mmoja tuu aneyeitwa Mama, nashauri Mama abaki mmoja tuu!, Mama Samia, kama ilivyo kwa Baba wa Taifa ni mmoja tuu.
Nilipoona tuu title ya Mama nikajua ni Mama kumbe ni mama mwingine!.
Ni ushauri tuu!.
P
Halafu mtu mwenyewe mshindani wa P, kwenye nafasi fudenge hivi😂Japo kila Mwanamke anaweza kuitwa Mama, lakini maadam title ya Mama kwa Tanzania sasa tayari ni synonyms ya mtu mmoja tuu aneyeitwa Mama, nashauri Mama abaki mmoja tuu!, Mama Samia, kama ilivyo kwa Baba wa Taifa ni mmoja tuu.
Nilipoona tuu title ya Mama nikajua ni Mama kumbe ni mama mwingine!.
Ni ushauri tuu!.
P
Ukiwa mjinga, usipitilize hadi kuwa fala kabisa, sababu uchawa ni kiwango cha juu kabisa cha ujinga, ukifikia uchawa, that means kiwango cha ujinga wako ni cha juu sana you are qualified to be called Fala, brainless, yaani kichwa nazi, kibuyu, senseless human being.Ukiwa mjinga, usipitilize hadi kuwa fala kabisa, sababu uchawa ni kiwango cha juu kabisa cha ujinga, ukifikia uchawa, that means kiwango cha ujinga wako ni cha juu sana you are qualified to be called Fala, brainless, yaani kichwa nazi, kibuyu, senseless human being.
Huyu ni kada wa chama asiyejua chochote kuhusu utawala. Ametoka chuo ameenda lumumba yupo pale kwa ajilo ya jinsia yake.Sio mwingine, bali ni Katibu Muenezi wa sasa CCM Sophia Mjema.
Ni mnukuu Bwana Lucas
... Naamini ya bwana Lucas, manake mifupa inayotupwa humu jamvini baada ya Ripoti ya Mkaguzi mkuu wa Serikali CAG kutoka, imekuwa hatare.
Mama Sophia Mjema anastahili pongezi kweli kweli.
Nina Uhakika vyama vingine vya Siasa vitaomba kutofautiana na wewe. Sidhani wanatizama jinsia tu manake mifupa wanayotupiwa iliyochovywa na Asali inawachanganya.Huyu ni kada wa chama asiyejua chochote kuhusu utawala. Ametoka chuo ameenda lumumba yupo pale kwa ajilo ya jinsia yake.
Dunia haipo fair mkuuAnayesifiwa ni Sophia Mjema??? Acha nikae kimya tu.
Huwa nasikitika sana kulikuta limtu lizima lenye manyoya kwapani, private n.k linaamka asubui na gafla linanza tu from no where kuwa chawa.Sio mwingine, bali ni Katibu Muenezi wa sasa CCM Sophia Mjema.
Ni mnukuu Bwana Lucas
... Naamini ya bwana Lucas, manake mifupa inayotupwa humu jamvini baada ya Ripoti ya Mkaguzi mkuu wa Serikali CAG kutoka, imekuwa hatare.
Mama Sophia Mjema anastahili pongezi kweli kweli.