"Mama wa Shoka, Mama shupavu na hodari, Mama mwenye kujiamini na asiye babaika, mwenye uzoefu wa kutosha"

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2007
Posts
8,189
Reaction score
7,853
Sio mwingine, bali ni Katibu Muenezi wa sasa CCM Sophia Mjema.

Ni mnukuu Bwana Lucas
Hakika mama huyu Sophia Mjema Anakwenda kuziteka na kuzitawala siasa za nchi hii, wapinzani wanakwenda kuweka mikono mgongoni na kushusha sura zao chini Kama Taa iliyokwisha mafuta.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
... Naamini ya bwana Lucas, manake mifupa inayotupwa humu jamvini baada ya Ripoti ya Mkaguzi mkuu wa Serikali CAG kutoka, imekuwa hatare.

Mama Sophia Mjema anastahili pongezi kweli kweli.
 
Wazandiki wakuuu!!!
Watu hataree Sana nyie Pangu pakavu tia mchuzi
Babuu, ni mifupa tunayolishwa humu.....haina nyama babu, kila kona utasikia nape hili, mbowe lile Kamati imekaa kadha wa kadha.... yaani huyu mama ni hodari kuliko...nyuma huko... hauoni Ripoti ya CAG wala nini.....Ina maana anafanya kazi mara kumi na tano ya Shaka Hamidu Shaka.

Wewe unajua ipo wapi Ripoti ya CAG inapojadiliwa? Basi kama hujuwi ndio ujuwe Mama Sophia Mjema anaupiga mwingi humu Jamvini
 
Sio mwingine, bali ni Katibu Muenezi wa sasa CCM Sophia Mjema.

Ni mnukuu Bwana Lucas

... Naamini ya bwana Lucas, manake mifupa inayotupwa humu jamvini baada ya Ripoti ya Mkaguzi mkuu wa Serikali CAG kutoka, imekuwa hatare.

Mama Sophia Mjema anastahili pongezi kweli kweli.
Japo kila Mwanamke anaweza kuitwa Mama, lakini maadam title ya Mama kwa Tanzania sasa tayari ni synonyms ya mtu mmoja tuu aneyeitwa Mama, nashauri Mama abaki mmoja tuu!, Mama Samia, kama ilivyo kwa Baba wa Taifa ni mmoja tuu.
Nilipoona tuu title ya Mama nikajua ni Mama kumbe ni mama mwingine!.
Ni ushauri tuu!.
P
 
Chawa kazini
CHADEMA mnaepigwa vitu vizito na Mama Sophia Mjema....kila mkipandisha CAG report mnatupiwa fupa lililochovywa na asali, mnamumunya mumunya weee mnachanganyikiwa kabisa mnasahau mpo CCM au CHADEMA isitoshe, hata bwana Mkubwa hapigi picha Ufipa sikuhizi ila pale waiting room Ikulu!

...hapo sasa.....mlimwonea sana bwana mdogo Shaka .H na sasa mmeletewa mama wa shoka, mama shupavu, mama anayejiamini.....mpo hoi! kama siyo picha ya waiting room mnaleta zile akiwa Jukwaani akishindana na Wasanii kwenye listi ya 25 bora za mgeni
jamiiforums1267461471_387x387-jpg.2572374

Kubalini tu Sophia Mjema kiboko yenu.
 
Japo kila Mwanamke anaweza kuitwa Mama, lakini maadam title ya Mama kwa Tanzania sasa tayari ni synonyms ya mtu mmoja tuu aneyeitwa Mama, nashauri Mama abaki mmoja tuu!, Mama Samia, kama ilivyo kwa Baba wa Taifa ni mmoja tuu.
Nilipoona tuu title ya Mama nikajua ni Mama kumbe ni mama mwingine!.
Ni ushauri tuu!.
P
Nimekupata Kaka. Nimepokea.
 
Halafu mtu mwenyewe mshindani wa P, kwenye nafasi fudenge hivi😂
 
Ukiwa mjinga, usipitilize hadi kuwa fala kabisa, sababu uchawa ni kiwango cha juu kabisa cha ujinga, ukifikia uchawa, that means kiwango cha ujinga wako ni cha juu sana you are qualified to be called Fala, brainless, yaani kichwa nazi, kibuyu, senseless human being.
 
Haya matusi ya kufundishwa utotoni mhhh. Jitu zima linaamka kuja kutapika nyongo humu, yaani unaona kabisa hakuna lelote alilokuja kuliongelea humu ila kutoa dukuduku zake na id bandia. Kweli ndege wajanja hunasa kwenye tundu bovu.
Nafikiri Jay one upeleke kero zako kwingine.
 
Sio mwingine, bali ni Katibu Muenezi wa sasa CCM Sophia Mjema.

Ni mnukuu Bwana Lucas

... Naamini ya bwana Lucas, manake mifupa inayotupwa humu jamvini baada ya Ripoti ya Mkaguzi mkuu wa Serikali CAG kutoka, imekuwa hatare.

Mama Sophia Mjema anastahili pongezi kweli kweli.
Huyu ni kada wa chama asiyejua chochote kuhusu utawala. Ametoka chuo ameenda lumumba yupo pale kwa ajilo ya jinsia yake.
 
Nina Uhakika vyama vingine vya Siasa vitaomba kutofautiana na wewe. Sidhani wanatizama jinsia tu manake mifupa wanayotupiwa iliyochovywa na Asali inawachanganya.

Wamenyooka na wanafanya naye maridhiano, unafikiri kwa sababu hajui utawala au kwasababu yupo Lumumba?

Umepatia ni kada wa CCM
 
Sio mwingine, bali ni Katibu Muenezi wa sasa CCM Sophia Mjema.

Ni mnukuu Bwana Lucas

... Naamini ya bwana Lucas, manake mifupa inayotupwa humu jamvini baada ya Ripoti ya Mkaguzi mkuu wa Serikali CAG kutoka, imekuwa hatare.

Mama Sophia Mjema anastahili pongezi kweli kweli.
Huwa nasikitika sana kulikuta limtu lizima lenye manyoya kwapani, private n.k linaamka asubui na gafla linanza tu from no where kuwa chawa.
Always It's too sad
 
Back
Top Bottom