SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Sio mwingine, bali ni Katibu Muenezi wa sasa CCM Sophia Mjema.
Ni mnukuu Bwana Lucas
Mama Sophia Mjema anastahili pongezi kweli kweli.
Ni mnukuu Bwana Lucas
Hakika mama huyu Sophia Mjema Anakwenda kuziteka na kuzitawala siasa za nchi hii, wapinzani wanakwenda kuweka mikono mgongoni na kushusha sura zao chini Kama Taa iliyokwisha mafuta.
... Naamini ya bwana Lucas, manake mifupa inayotupwa humu jamvini baada ya Ripoti ya Mkaguzi mkuu wa Serikali CAG kutoka, imekuwa hatare.Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Mama Sophia Mjema anastahili pongezi kweli kweli.