Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Na wewe mbona unahangaika kana kwamba nakwambia wewe?Mbona unalalamika kana kwamba Nilishakuja kukulia msaada wa kulea watoto wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe mbona unahangaika kana kwamba nakwambia wewe?Mbona unalalamika kana kwamba Nilishakuja kukulia msaada wa kulea watoto wangu
Hii ni forum nakushangaa unavyomtuhumu mama wa kilosa unataka aishi unavyotakaNa wewe mbona unahangaika kana kwamba nakwambia wewe?
Kama anatesa watoto Endelea kuliaHainipungizii chochote.
Ila anatesa watoto kwa kushindwa kuwahudumia.
Huyo polisi ni serikali pia.
Unasema serikali haina msaada wowote, wakati hata wewe ni serikali.
Serikali ni watu.