Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kama maisha sio ya kuogopa, Huyo Mama anacho hangaika kuomba msaada ni nini?Umeongea ukweli maisha ni fumbo gumu sana
Kuna watu hata mmoja wanataman ila hawapati
Wako watu wanamtuhumu kuzaa watoto wengi maisha sio ya kuyaogopa sana
Si akae atulie na hao watoto wake kama haogopi maisha.
Kuna mtu aliwatuma kuzaa watoto wengi halafu aanze kutia tia huruma kutaka msaada?