Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 9,830 Reaction score 20,686 Oct 30, 2024 #161 Masikio Masikio said: Mbona unalalamika kana kwamba Nilishakuja kukulia msaada wa kulea watoto wangu Click to expand... Na wewe mbona unahangaika kana kwamba nakwambia wewe?
Masikio Masikio said: Mbona unalalamika kana kwamba Nilishakuja kukulia msaada wa kulea watoto wangu Click to expand... Na wewe mbona unahangaika kana kwamba nakwambia wewe?
Mpigania uhuru wa pili JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 3,380 Reaction score 6,376 Oct 30, 2024 #162 Infropreneur said: Na wewe mbona unahangaika kana kwamba nakwambia wewe? Click to expand... Hii ni forum nakushangaa unavyomtuhumu mama wa kilosa unataka aishi unavyotaka
Infropreneur said: Na wewe mbona unahangaika kana kwamba nakwambia wewe? Click to expand... Hii ni forum nakushangaa unavyomtuhumu mama wa kilosa unataka aishi unavyotaka
Mpigania uhuru wa pili JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 3,380 Reaction score 6,376 Oct 30, 2024 #163 Infropreneur said: Hainipungizii chochote. Ila anatesa watoto kwa kushindwa kuwahudumia. Huyo polisi ni serikali pia. Unasema serikali haina msaada wowote, wakati hata wewe ni serikali. Serikali ni watu. Click to expand... Kama anatesa watoto Endelea kulia
Infropreneur said: Hainipungizii chochote. Ila anatesa watoto kwa kushindwa kuwahudumia. Huyo polisi ni serikali pia. Unasema serikali haina msaada wowote, wakati hata wewe ni serikali. Serikali ni watu. Click to expand... Kama anatesa watoto Endelea kulia