Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu mama kama hayupo sawa jamaniMungu wangu huyu ni mama?Anasema kabisa kwa ujasiri mwanae anauzwa kwa wanaume?Haoni aibu kama mama?
Aiseeeee Mungu tusamehe kwa kweli
Huyo anaemuuza wema itakua analipia vat maza katoa povu balaaMtoto mjinga hasara kwa *****.
Huyu mama kalogwa pia, hawezi kuongea pumba kiasi hichi.
Hahahahhaa nimefurahia sana Mwandiko wakoHuyu mama suo kabusa
Hakupaswa kujiingizq
Bali achunguze na kumwongoza mwanae kwenye mstari ukio sahihu
Anauzwa wapi? hata mimi nataka kumnunuaMungu wangu huyu ni mama?Anasema kabisa kwa ujasiri mwanae anauzwa kwa wanaume?Haoni aibu kama mama?
Aiseeeee Mungu tusamehe kwa kweli