Mama Wema afunguka kuhusu ugomvi wa Wema na Munalove

Mama Wema afunguka kuhusu ugomvi wa Wema na Munalove

Hivi kwanini huyu mama anapenda sana kujishushia heshima.
Ugomvi wa watoto yeye si akae kimya tu kwani anapungukiwa nini jamani.
Hivi haoni wazazi wengine wenye watoto wao ambao ni famous kama mwanae hawajishughulishi na mambo ya watoto wao katika media au anadhani hao wazazi hawana akili.
Busara na hekima vimempita pembeni kabisa kama mzazi.
 
Duuuh mama kasema ukweli japo unauma mwanae si muuza k,istoshe mama ndio kachangia tabia y mwanae kua hivyo now roho inamuuma kaamua kutoa la moyoni asipate stroke
 
Huyu mama sio kabisa

Hakupaswa kujiingiza

Bali achunguze na kumwongoza mwanae kwenye mstari ukio sahihu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
MWENYE ENZI MUNGU NIEPUSHE....DAH! KAZI KWELI KWELI
 
Yeeleeeuuuuwwwiiiiii jaman si myamalize huko home huku kuanikanq mtandaon jaman smh..
 
Tulikuwa tunasema humu,huyu Wema anauza "k" wenye chama lao wakawa wakali,leo Mama kaweka wazi kabisa kuwa mwanae anauza tena Wema alivyo zumbukuku anafanyiwa udalali na wajanja wa Town wanachukua cha juu.
 
Back
Top Bottom