samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Ukiona kuna mtu yupo karibu nae huyo ndio meneja wake a.k.a Dalali wake kwa booking na kila kitu unaongea nae huyo. (kwa mujibu wa maelezo ya mama)Anauzwa wapi? hata mimi nataka kumnunua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona kuna mtu yupo karibu nae huyo ndio meneja wake a.k.a Dalali wake kwa booking na kila kitu unaongea nae huyo. (kwa mujibu wa maelezo ya mama)Anauzwa wapi? hata mimi nataka kumnunua
Ukiona kuna mtu yupo karibu nae huyo ndio meneja wake a.k.a Dalali wake kwa booking na kila kitu unaongea nae huyo. (kwa mujibu wa maelezo ya mama)
Ukiona mtu mzima analia... Bora aseme mwisho wa siku atalaumiwa yeye kwa malezi mabovuMungu wangu huyu ni mama?Anasema kabisa kwa ujasiri mwanae anauzwa kwa wanaume?Haoni aibu kama mama?
Aiseeeee Mungu tusamehe kwa kweli
Mzazi atabaki kuwa mzazi tu, inamuuma na kutoa dukuduku ni dawa ya nini ajifie na presha bure?Hivi kwanini huyu mama anapenda sana kujishushia heshima.
Ugomvi wa watoto yeye si akae kimya tu kwani anapungukiwa nini jamani.
Hivi haoni wazazi wengine wenye watoto wao ambao ni famous kama mwanae hawajishughulishi na mambo ya watoto wao katika media au anadhani hao wazazi hawana akili.
Busara na hekima vimempita pembeni kabisa kama mzazi.
alikuwa nyumba ndogo..,.. from haus girl tu nyumba ndogoMke wa marehemu Balozi. Hivi wakati mumewe akiwa Balozi maujinga haya alikuwa anayafanya hata huko nje?
Huyo Mama si mzima nawashangaa mnaoshangaaMungu wangu huyu ni mama?Anasema kabisa kwa ujasiri mwanae anauzwa kwa wanaume?Haoni aibu kama mama?
Aiseeeee Mungu tusamehe kwa kweli
Dua njema kabisa hii ni jambo la msingi sana kuwa na mwisho mzuri.Mungu nipe hekima na busara kwenye malezi na uzee wangu pia
maana haya mambo na digitali hii..Dua njema kabisa hii ni jambo la msingi sana kuwa na mwisho mzuri.
kwani hili swala linahusiana na ndoa?Huyu mama amefeli kumfundisha mwanae, kuwa na nidhamu ya pesa na hilo wema kafeli na ndio maana kutulia na mtu mmoja hatoweza, kwa sababu maisha ya ndoa ni kupanda na kushuka na hata akianzisha biashara, lazima itafeli kwa sababu biashara inahitaji nidhamu ya hali ya juu ya matumizi ya pesa unayo iingiza kama faida
Yaah! mwisho mtu unakuwa kama myng'unya huharibika hata ukubwani kwa kweli malezi ni changamoto kubwa mwisho mtu unaanza kuangalia mpaka historia ya koo (clan )nazo pia zinachangia maana unaweza kukuta familia zina maadili mema mpaka unashangaa nyingine ndo hivyo pasua kichwa au kaongoka mmoja waliobaki mtihani.maana haya mambo na digitali hii..
kuomba Mungu tu!
Yupo singida ana sort out problems😀😀😀😀😀
Mnyaturu live ni nomaaa.