Mama Wema afunguka kuhusu ugomvi wa Wema na Munalove

Anauzwa wapi? hata mimi nataka kumnunua
Ukiona kuna mtu yupo karibu nae huyo ndio meneja wake a.k.a Dalali wake kwa booking na kila kitu unaongea nae huyo. (kwa mujibu wa maelezo ya mama)
 
Ukiona kuna mtu yupo karibu nae huyo ndio meneja wake a.k.a Dalali wake kwa booking na kila kitu unaongea nae huyo. (kwa mujibu wa maelezo ya mama)

Sawa Mkuu. ntajitahidi sana nimtafute huyu mrembo na mie nipitie huko wanakopita wengine
 
Mungu wangu huyu ni mama?Anasema kabisa kwa ujasiri mwanae anauzwa kwa wanaume?Haoni aibu kama mama?
Aiseeeee Mungu tusamehe kwa kweli
Ukiona mtu mzima analia... Bora aseme mwisho wa siku atalaumiwa yeye kwa malezi mabovu
 
Mzazi atabaki kuwa mzazi tu, inamuuma na kutoa dukuduku ni dawa ya nini ajifie na presha bure?
 
Huyu mama amefeli kumfundisha mwanae, kuwa na nidhamu ya pesa na hilo wema kafeli na ndio maana kutulia na mtu mmoja hatoweza, kwa sababu maisha ya ndoa ni kupanda na kushuka na hata akianzisha biashara, lazima itafeli kwa sababu biashara inahitaji nidhamu ya hali ya juu ya matumizi ya pesa unayo iingiza kama faida
 
Kumbe problem anazi sort out. Nilijua anazitafutia solution. Mtanisamehe wandugu, ila huyu ni mama....
 
kwani hili swala linahusiana na ndoa?
 
maana haya mambo na digitali hii..
kuomba Mungu tu!
Yaah! mwisho mtu unakuwa kama myng'unya huharibika hata ukubwani kwa kweli malezi ni changamoto kubwa mwisho mtu unaanza kuangalia mpaka historia ya koo (clan )nazo pia zinachangia maana unaweza kukuta familia zina maadili mema mpaka unashangaa nyingine ndo hivyo pasua kichwa au kaongoka mmoja waliobaki mtihani.
 
Like mother like daughter, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo~life goes on
 
Mama wema bora angenyamaza kabisaaa ,,tulikuaga tunasikia tu kua junaithar anamtafutia mabwana wema kumbe kweliii katuthibitishia ahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…