Mama Wema afunguka kuhusu ugomvi wa Wema na Munalove

Sijui hata munamshangaa huyu mama kwa kipi!!!huyo Wema sehemu inayomtia jeuri na kuyaleta matatizo yake ni Instagram na mitandao mingine ya kijamii,hasikii la mua'dhini wala la mnadi swala.

Wema ameshachafua watu wangapi kupitia mitandao ya kijamii ambao walikuwa ni rafiki zake wakubwa?!Instagram ndiyo mahakama yake,wema amejivika umalkia wa kupandisha nyota za watu na kuzishusha...anachonganisha wasanii wetu,anagawa makundi ya watu,akikuchukia yeye basi atahakikisha watumiaji wote wa mitandao ya kijamii na magazeti yanakuchukia..

Mama Wema amefanya vizuri saaaaanaaa!!!kama ni kumkanya nyumbani ameshamkanya sanaa..ndugu wameshamsema sanaa lakini haijasaidia!!anajifanya mstaarabu sana mbele ya jamii..

Njia pekee ya kumkomesha tabia yake ni kumchana live hukohuko Instagram na mitandaoni anakokuabudu,ili hao wanaomjaza ujinga na kutukana wengine,wamjue maisha yake halisi...

Wema ameshashindikana,ni bora mama alivyotuletea wananchi tufanye kazi yetu..safi sana mama
 
Mola Muumba wa Ulimwengu amsitiri nje ndani maana na dunia ya sasa ya Utandawazi.....I can already Imagine our very own Britney Spears or another Ray C!! (Maana nikifikiria ile tuhuma ya kubwia chakula ya Nyoka!?!,...I get a very dark picture.)

****Sikuombei vibaya Wema, but for God's sake please put some respect on your Dignity jamani!
 
Itakuwa bei imeshuka....mzee wa kodi kasambaratishwa....ni Gin n.a. tonic tu
 
Mungu awasidie mama na mwanae wajitambue. Ajabu huyu mama mbona ana watoto wengine hawaongelei kila Siku wema
 
Mzee Issack Sepetu (R.I.P.) Kapitia mengi sana wakati akiwa na huyu Mama,

tena alikuwa mvumilivu sana huyu mama sio bonge la mzushi.
 
Tulikuwa tunasema humu,huyu Wema anauza "k" wenye chama lao wakawa wakali,leo Mama kaweka wazi kabisa kuwa mwanae anauza tena Wema alivyo zumbukuku anafanyiwa udalali na wajanja wa Town wanachukua cha juu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wenye akili tulishajua wema cheche... Kwanza 99% ya hao mashabiki wake wa mtandaoni ni machangudoa na mashoga kama james delicious au elibariki sijui marando wanaomuona kama role model wao kama changudoa mwenzao aliye win maisha anaye wa inspire.. Sitegemei demu msomi mwenye LLb yake au CPA yake anaweza kuwa inspired na killaza bogus kama wema.
 
Mama mwenyewe anapenda mambo ya ujana sana yaani hapo ana wa enjoy kinoma.
 
Wema kushnei!...lakini kasema Muna kamloga mamake ili wasipatane
 
Kama unazo $$$, £££ au €€€ jimwage mwage Mkuu nawe uonje raha za dunia, kwa za madafu havui picchu.

Mkuu nijiandae kama na sh ngapi? hawa watoto wazuri bwana acha na sie tuwale si lazima waliwe na Wakongo
 
Naanza kuhisi kama ni kiki hivi,wema kweli wakutoka povu kiasi hiki mtandaoni na kumponda Mama yake kiasi hiki ...............???
 
Ukweli kama mzazi hata mwanao awe na tabia mbaya kiasi gani unatakiwa uwe mwangalifu na unachosema. maneno huumba. Ila huyu mama sijafahamu ana miaka mingapi mpaka sasa hivi? Shame on her.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…