ZamdaIssa
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 879
- 1,458
Sijui hata munamshangaa huyu mama kwa kipi!!!huyo Wema sehemu inayomtia jeuri na kuyaleta matatizo yake ni Instagram na mitandao mingine ya kijamii,hasikii la mua'dhini wala la mnadi swala.
Wema ameshachafua watu wangapi kupitia mitandao ya kijamii ambao walikuwa ni rafiki zake wakubwa?!Instagram ndiyo mahakama yake,wema amejivika umalkia wa kupandisha nyota za watu na kuzishusha...anachonganisha wasanii wetu,anagawa makundi ya watu,akikuchukia yeye basi atahakikisha watumiaji wote wa mitandao ya kijamii na magazeti yanakuchukia..
Mama Wema amefanya vizuri saaaaanaaa!!!kama ni kumkanya nyumbani ameshamkanya sanaa..ndugu wameshamsema sanaa lakini haijasaidia!!anajifanya mstaarabu sana mbele ya jamii..
Njia pekee ya kumkomesha tabia yake ni kumchana live hukohuko Instagram na mitandaoni anakokuabudu,ili hao wanaomjaza ujinga na kutukana wengine,wamjue maisha yake halisi...
Wema ameshashindikana,ni bora mama alivyotuletea wananchi tufanye kazi yetu..safi sana mama