AiseeMzee Issack Sepetu (R.I.P.) Kapitia mengi sana wakati akiwa na huyu Mama,
tena alikuwa mvumilivu sana huyu mama sio bonge la mzushi.
Mama la mjiniMungu wangu huyu ni mama?Anasema kabisa kwa ujasiri mwanae anauzwa kwa wanaume?Haoni aibu kama mama?
Aiseeeee Mungu tusamehe kwa kweli
Jambo jema kama una mawazo hayo bestMungu nipe hekima na busara kwenye malezi na uzee wangu pia
Na mie nakushangaa haujarespond request yangu mpaka mda huuHuyo Mama si mzima nawashangaa mnaoshangaa
Amenisikitisha san huyo wema.Naanza kuhisi kama ni kiki hivi,wema kweli wakutoka povu kiasi hiki mtandaoni na kumponda Mama yake kiasi hiki ...............???
Hata siku moja hamgusi Wema ndio mungu wake,na hata hao wakina MOND NA ZARI ANAWAPONDA KWAAJILI YA KUMFURAHISHA MUNGU WAKE.Amenisikitisha san huyo wema.
Nahisi atakua ameonja cha arusha,halafu yule mange kimambi mbona yupo kimya kama vile hii issue hajaisikia hahaha au sbb n wema?ingekua zari au diamond hehehee insta ingechimbika
Huyo Mama naye asituchanganye yeye ndiye mtetezi wake mzuri leo yamemkwamaa? Ayameze tu asishindwe,Sijui hata munamshangaa huyu mama kwa kipi!!!huyo Wema sehemu inayomtia jeuri na kuyaleta matatizo yake ni Instagram na mitandao mingine ya kijamii,hasikii la mua'dhini wala la mnadi swala.
Wema ameshachafua watu wangapi kupitia mitandao ya kijamii ambao walikuwa ni rafiki zake wakubwa?!Instagram ndiyo mahakama yake,wema amejivika umalkia wa kupandisha nyota za watu na kuzishusha...anachonganisha wasanii wetu,anagawa makundi ya watu,akikuchukia yeye basi atahakikisha watumiaji wote wa mitandao ya kijamii na magazeti yanakuchukia..
Mama Wema amefanya vizuri saaaaanaaa!!!kama ni kumkanya nyumbani ameshamkanya sanaa..ndugu wameshamsema sanaa lakini haijasaidia!!anajifanya mstaarabu sana mbele ya jamii..
Njia pekee ya kumkomesha tabia yake ni kumchana live hukohuko Instagram na mitandaoni anakokuabudu,ili hao wanaomjaza ujinga na kutukana wengine,wamjue maisha yake halisi...
Wema ameshashindikana,ni bora mama alivyotuletea wananchi tufanye kazi yetu..safi sana mama
Na huyu kijana mdogo Calisah wamemtafutia waoMama wema bora angenyamaza kabisaaa ,,tulikuaga tunasikia tu kua junaithar anamtafutia mabwana wema kumbe kweliii katuthibitishia ahahahah
Bora umemuelezea Wema halisi...WENGI HAMJUI WEMA SEPETU HAWEZI KUOSHI BILA KIKI NA KUJITAFUTIA UMAARUFU
NA NNA MASHAKA HUYU DADA KUNA VYOMBO VYA HAVARI ZA UDAKU VINAMPROMOTE KUANZISHA KIKI ILI MAGAZETI YAO YAUZE
Unasemaje wewe? Au hufahamu drama za Mama Wema?!I guess hiyo clip ni ya kutengeneza tuu. Mama mtu mzima hawezi kuongea hivyo jamani hata kama tabia ya mwanae ikimuudhi kiasi gani.