Mama Wema afunguka kuhusu ugomvi wa Wema na Munalove

Mama Wema afunguka kuhusu ugomvi wa Wema na Munalove

Huyu mama ni bora angekuwa anakaa kimya tu maana atadhalilika sana kisa mtoto wake
 
WENGI HAMJUI WEMA SEPETU HAWEZI KUOSHI BILA KIKI NA KUJITAFUTIA UMAARUFU
NA NNA MASHAKA HUYU DADA KUNA VYOMBO VYA HAVARI ZA UDAKU VINAMPROMOTE KUANZISHA KIKI ILI MAGAZETI YAO YAUZE
 
Naanza kuhisi kama ni kiki hivi,wema kweli wakutoka povu kiasi hiki mtandaoni na kumponda Mama yake kiasi hiki ...............???

Amenisikitisha san huyo wema.
Nahisi atakua ameonja cha arusha,halafu yule mange kimambi mbona yupo kimya kama vile hii issue hajaisikia hahaha au sbb n wema?ingekua zari au diamond hehehee insta ingechimbika
 
Amenisikitisha san huyo wema.
Nahisi atakua ameonja cha arusha,halafu yule mange kimambi mbona yupo kimya kama vile hii issue hajaisikia hahaha au sbb n wema?ingekua zari au diamond hehehee insta ingechimbika
Hata siku moja hamgusi Wema ndio mungu wake,na hata hao wakina MOND NA ZARI ANAWAPONDA KWAAJILI YA KUMFURAHISHA MUNGU WAKE.
 
Sijui hata munamshangaa huyu mama kwa kipi!!!huyo Wema sehemu inayomtia jeuri na kuyaleta matatizo yake ni Instagram na mitandao mingine ya kijamii,hasikii la mua'dhini wala la mnadi swala.

Wema ameshachafua watu wangapi kupitia mitandao ya kijamii ambao walikuwa ni rafiki zake wakubwa?!Instagram ndiyo mahakama yake,wema amejivika umalkia wa kupandisha nyota za watu na kuzishusha...anachonganisha wasanii wetu,anagawa makundi ya watu,akikuchukia yeye basi atahakikisha watumiaji wote wa mitandao ya kijamii na magazeti yanakuchukia..

Mama Wema amefanya vizuri saaaaanaaa!!!kama ni kumkanya nyumbani ameshamkanya sanaa..ndugu wameshamsema sanaa lakini haijasaidia!!anajifanya mstaarabu sana mbele ya jamii..

Njia pekee ya kumkomesha tabia yake ni kumchana live hukohuko Instagram na mitandaoni anakokuabudu,ili hao wanaomjaza ujinga na kutukana wengine,wamjue maisha yake halisi...

Wema ameshashindikana,ni bora mama alivyotuletea wananchi tufanye kazi yetu..safi sana mama
Huyo Mama naye asituchanganye yeye ndiye mtetezi wake mzuri leo yamemkwamaa? Ayameze tu asishindwe,
 
Aiseee anashangaa nini!.
Haya ndo mavuno!

Kila unachopanda usipovuna ww atavuna mwanao,au kizaz chako
 
Mama wema bora angenyamaza kabisaaa ,,tulikuaga tunasikia tu kua junaithar anamtafutia mabwana wema kumbe kweliii katuthibitishia ahahahah
Na huyu kijana mdogo Calisah wamemtafutia wao
 
I guess hiyo clip ni ya kutengeneza tuu. Mama mtu mzima hawezi kuongea hivyo jamani hata kama tabia ya mwanae ikimuudhi kiasi gani.
 
WENGI HAMJUI WEMA SEPETU HAWEZI KUOSHI BILA KIKI NA KUJITAFUTIA UMAARUFU
NA NNA MASHAKA HUYU DADA KUNA VYOMBO VYA HAVARI ZA UDAKU VINAMPROMOTE KUANZISHA KIKI ILI MAGAZETI YAO YAUZE
Bora umemuelezea Wema halisi...
 
huyu mama naona anazidi kishusha ile heshima robo aliyokua nayo ifike kipindi anyamaze kimya tu
 
Mi yangu macho tu............wacha picha liendelee
 
Back
Top Bottom