Hata wewe ulikua unajikoti sana tu nilikua nakufwa mbavuAh ahahh ananikumbusha vichambo tulivyokua tunapewa na binamu yangu Dinazarde, kama ingekua kuacha umbea ni kile kipindi aiseh mtu unachambwa mpaka unachanganyikiwa ,nakumbuka kuna kipindi binamu alikua anachambwa mpaka anaji quote na kujitukana mwenyew jaman nikukumbuka nacheka sana dah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo unataka kuniambia hii tabia ya wema sepetunga kuwa mama huruma ameridhi kipaji kutoka kwa mama yakeMmh mama wema jamani ana mdomo yule mwanamke majiran zake sinza wanamuogopa, huyu mama ndo kiboko ya sandrah , mama diamond anajifanya mswahili lakini mama wema ni yale mashangingi ya sinza ya 90's enzi zake na mama hasheem walitikisa sana sinza, mama ana mdomo mchafu utafikir kinaniliu cha shilole[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
haaa unakumbuka tulitifuanaga kwenye birthday ya Wema[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hehehe mnanikumbusha mbali aiseeee
Hahahaha ila hapo nilikuchokozaga mimi bana,nilikua kachokozi tu shenzi kabisa mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haaa unakumbuka tulitifuanaga kwenye birthday ya Wema[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ah ahahh ananikumbusha vichambo tulivyokua tunapewa na binamu yangu Dinazarde, kama ingekua kuacha umbea ni kile kipindi aiseh mtu unachambwa mpaka unachanganyikiwa ,nakumbuka kuna kipindi binamu alikua anachambwa mpaka anaji quote na kujitukana mwenyew jaman nikukumbuka nacheka sana dah