Mama Wema afunguka kuhusu Wema kurudiana na Diamond

Mama Wema afunguka kuhusu Wema kurudiana na Diamond

Ah ahahh ananikumbusha vichambo tulivyokua tunapewa na binamu yangu Dinazarde, kama ingekua kuacha umbea ni kile kipindi aiseh mtu unachambwa mpaka unachanganyikiwa ,nakumbuka kuna kipindi binamu alikua anachambwa mpaka anaji quote na kujitukana mwenyew jaman nikukumbuka nacheka sana dah
Hata wewe ulikua unajikoti sana tu nilikua nakufwa mbavu
 
Mmh mama wema jamani ana mdomo yule mwanamke majiran zake sinza wanamuogopa, huyu mama ndo kiboko ya sandrah , mama diamond anajifanya mswahili lakini mama wema ni yale mashangingi ya sinza ya 90's enzi zake na mama hasheem walitikisa sana sinza, mama ana mdomo mchafu utafikir kinaniliu cha shilole[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo unataka kuniambia hii tabia ya wema sepetunga kuwa mama huruma ameridhi kipaji kutoka kwa mama yake
Duh
 
hahahahhahahahahah lol hadithi hadithi hadithiiiiii njoo uongoooo njooo utamu koleaaaaa. lol 😀😀😀😀😀😀😀
 
Hivi mama wema na mama domo nao ni mastar? Au ndio mameneja wa watoto wao Kama mama Kim khardashian?
 
Ah ahahh ananikumbusha vichambo tulivyokua tunapewa na binamu yangu Dinazarde, kama ingekua kuacha umbea ni kile kipindi aiseh mtu unachambwa mpaka unachanganyikiwa ,nakumbuka kuna kipindi binamu alikua anachambwa mpaka anaji quote na kujitukana mwenyew jaman nikukumbuka nacheka sana dah

Hahahahahaha Binamu umejua kunivunja mbavu daa nimecheka mpaka basi
 
Back
Top Bottom