Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hata wewe ulikua unajikoti sana tu nilikua nakufwa mbavuAh ahahh ananikumbusha vichambo tulivyokua tunapewa na binamu yangu Dinazarde, kama ingekua kuacha umbea ni kile kipindi aiseh mtu unachambwa mpaka unachanganyikiwa ,nakumbuka kuna kipindi binamu alikua anachambwa mpaka anaji quote na kujitukana mwenyew jaman nikukumbuka nacheka sana dah