Mama Wema asema kuna wakati anapigana na watu kumtetea Wema

Mama Wema asema kuna wakati anapigana na watu kumtetea Wema

huyo mama wema pole zake
kabla ya kuja kurusha ngumi hapa ajiulize mbona mabinti wengine hawandikwi humu ama magazetini?
sasa wema kama kaamua kuwa kiruka njia mchana kweupe lazima wandike, mama vumilia tu.
 
Wema Sepetu,
Mariam Sepetu.
Mi naona Hao watakauwa ni mtu na mdogo wake, mbona wote baba yao ni mzee Sepetu°!

Kama ilivyo:
Ridhiwani Kikwete
Salma Kikwete
Au majina kwenye familia yoyote ile.

Unacho dhihirisha hapa, wewe humjui baba yako!
 
Wema ni kielelezo kibaya kwa Waunguja. Unajua hawa wa visiwani wakija huku wanajichetua kuliko wenyeji.

Wema, Nisha na Salama Jabir ni mfano wa waunguja wanaosumbua bara kwa vituko.
 
Kama ilivyo:
Ridhiwani Kikwete
Salma Kikwete

Au majina kwenye familia yoyote ile.

Unacho dhihirisha hapa, wewe humjui baba yako!

Hawa nao ni mtu na mdogo wake, ni watoto wa mzee kikwete au?
 
Back
Top Bottom