Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha nop sijaionaHujawahi kuiona ile video akiwa anampopoa mawe Shakoor?
Mnyaturu Laivu ni kituko.
Wema Sepetu,
Mariam Sepetu.
Mi naona Hao watakauwa ni mtu na mdogo wake, mbona wote baba yao ni mzee Sepetu°!
Wema ni kielelezo kibaya kwa Waunguja. Unajua hawa wa visiwani wakija huku wanajichetua kuliko wenyeji.
Wema, Nisha na Salama Jabir ni mfano wa waunguja wanaosumbua bara kwa vituko.
Kama ilivyo:
Ridhiwani Kikwete
Salma Kikwete
Au majina kwenye familia yoyote ile.
Unacho dhihirisha hapa, wewe humjui baba yako!
Muunguja jina tu ni mnyamwezi waliohamia UngujaMzee Abraham Sepetu ni Muunguja