Mama Yake Ana Mahusiano Na Kijana Wao Wa Bodaboda.

Ajikaze na akubali ukweli ndio pona yake, akimkosea heshima boda boda baba, atajikuta anapataa laana ya mama na boda boda.. mtu ambae kaisha ona nyuchi ya mama ake inabidi amuheishimu . Hata wakipasha amkuamkie tu
Mkuu,laana haimpati mtu mpaka ipite kwa Mungu,tena mpaka aliyelaaniwa awe kweli ana makosa,
Huyo Mama mzinifu aliye ndani ya ndoa ndiye aliyelaaniwa na Mungu,na inatakiwa apewa adhabu kali,

Kama kutakua na ushahidi usio na shaka kua anazini nje ya ndoa,basi ni haki yake kutwangwa talaka,Mama mzinifu aliyelaaniwa na Mungu,laana yake ni bure wala haina madhara hata kwa Sisimizi.
 
hutaki mama yako afikishwe kileleni? na jingine unatakiwa uhame kwenu ukapange na unataka uzeekee nyumbani?
 
Mkuu,laana haimpati mtu mpaka ipite kwa Mungu,tena mpaka aliyelaaniwa awe kweli ana makosa,
Huyo Mama mzinifu aliye ndani ya ndoa ndiye aliyelaaniwa na Mungu,na inatakiwa apewa adhabu kali,

Kama kutakua na ushahidi usio na shaka kua anazini nje ya ndoa,basi ni haki yake kutwangwa talaka,Mama mzinifu aliyelaaniwa na Mungu,laana yake ni bure wala haina madhara hata kwa Sisimizi.
Mkuu, tatizo la watu kuwa na wapenzi wa nje limeishakuwa kawaida, Leo watu wakisimama kwenye kweli, ndoa nyingi haziwezi simama, watu kulala nje ya ndoa zao imekuwa kawaida sana
 
Hata siku moja usiingilie ugomvi wa Wazazi, kuwa Neutral.
Ulichokiona iwe siri yako, na kama ulivyoona kwa mama ako bc huenda na kwa baba ako ikawa hvyo au isiwe hivyo.
Unajiuliza kuwa umwambie mama ako kuwa anachomfanyia baba ako sio sahihi, yes unaeza fanya hvyo ila hyo utakuwa umefikisha tuu dukufuku lako lakin sio kuwabadilisha tabia waloianzisha wakiwa na akili zao timamu, Waache na tabia zao na dhambi zao wenyewe na wewe jitahidi usiwe sababu ya Wazazi wako kutengana, na ikiwa itatokea wametengana iwe ni kwa sababu zao wenyewe. Pia hayo uloyaona usimwambie yeyote ktk ndugu, jirani ama rafiki kwan hyo itapelekea kudharaulika kuanzia mama ako, baba ako had nyie watoto na shujaa ataonekana ni boda boda.
Mstiri mama ako, mstiri baba ako, nawewe kuna siku utasitiriwa.
Naomba kuwasilisha.
 
Ha

Kuna stara hapo?

Tayari mama kashazalilisha familia na heshima ya huyo kijana mtaani.
Hatokuja kumuheshimu Wala kumpenda huyo mama hata iweje.

Asipokuwa makini, Mzee wake hatoboi miaka mitano maana kwa uno la bodaboda basi kifo Cha baba yake kipo njiani.

Muonye mama yako kimya kimya, akishindwa tafuta ushahidi kiwashe, liwale na liwe
 
Hata siku moja usiingilie ugomvi wa Wazazi, kuwa Neutral.
Ulichokiona iwe siri yako, na kama ulivyoona kwa mama ako bc huenda na kwa baba ako ikawa hvyo au isiwe hivyo.
Unajiuliza kuwa umwambie mama ako kuwa anachomfanyia baba ako sio sahihi, yes unaeza fanya hvyo ila hyo utakuwa umefikisha tuu dukufuku lako lakin sio kuwabadilisha tabia waloianzisha wakiwa na akili zao timamu, Waache na tabia zao na dhambi zao wenyewe na wewe jitahidi usiwe sababu ya Wazazi wako kutengana, na ikiwa itatokea wametengana iwe ni kwa sababu zao wenyewe. Pia hayo uloyaona usimwambie yeyote ktk ndugu, jirani ama rafiki kwan hyo itapelekea kudharaulika kuanzia mama ako, baba ako had nyie watoto na shujaa ataonekana ni boda boda.
Mstiri mama ako, mstiri baba ako, nawewe kuna siku utasitiriwa.
Naomba kuwasilisha.
Unajuaje kua huyo Bodaboda hatangazi hapo mtaani kua anamtafuna huyo Mama?
Kwa vijana wa sasa,huenda huyo Boda boda anawaonyesha wenzake kijiweni,picha anazopiga na huyo Mama,hakuna tena heshima kwa huyo Mama wala kwa huyo kijana hapo mtaani,

Namshauri,kijana akiwashe tu coz huyo Mama ni mshenzi hafai kuheshimiwa,angeomba talaka ili akaliwe kwa uhuru zaidi na huyo Bodaboda,
Mtu asiyejiheshimu,hafai kuheshimiwa.
 
Back
Top Bottom