TANZIA Mama yake Hayati John Pombe Magufuli (Rais wa Awamu ya 5 wa JMT) afariki Dunia

TANZIA Mama yake Hayati John Pombe Magufuli (Rais wa Awamu ya 5 wa JMT) afariki Dunia

What is Life?
Ndio mantiki ya maisha uzima na umauti,
Ila unaweza kuona athari za uzazi wa huyo mama kwa jamii na taifa kwa ujumla, athari zake zitakuwa leo kesho na hata kesho kutwa kama ilivyo kuwa jana.

Kama si uzazi wa huyu mama huwenda taifa lisingekuwa jinsi lilivyo sasa.

Naoombea pumziko jema la milele na lenye furaha mama na mwanae, tuna namshukuru sana mwenyezi Mungu kwa maisha yao , hakika wamekua faida sana kwetu .
 
Back
Top Bottom