TANZIA Mama yake Hayati John Pombe Magufuli (Rais wa Awamu ya 5 wa JMT) afariki Dunia

TANZIA Mama yake Hayati John Pombe Magufuli (Rais wa Awamu ya 5 wa JMT) afariki Dunia

We mtaje bila kumtag. Akileta matusi Mimi nitakula naye sahani moja. Kwanza nina hamu ya kudinya.
Huu ni usariti mkubwa sana mwenyekiti siku zote unatuhamasisha tupige nyeto harafu wewe leo unasema una hamu ya kudinya, Mwenyekiti unasariti chama.
 
Mama Mzazi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, Suzana Magufuli amefariki dunia leo Mei 25, 2026, Chato Mkoani Geita baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Akizungumza na AyoTV kwa njia ya simu, Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amethibitisha kutokea kwa msiba huo akieleza kuwa Bibi Suzana amefariki saa 1 usiku Nyumbani kwake Chato.

“Bibi yetu (Suzana Mussa) amefariki saa moja nyumbani kwake Chato baada ya kuugua kwa muda mrefu, taratibu za msiba familia itawajulisha, Bwana ametoa na Bwana ametwaa” Jesca.
Msiba huu ndio kipimo cha mtu anathaminiwa kiasi gani, asume kama JPM angekuwa hai, halafu kafiwa na mama yake mzazi, msiba huo ungekuwa mkubwa kiasi gani kule Chato?.

Kwa msio jua kitu kinachoitwa life after life and incarnation, Life after Death: What happens after death? Magufuli huko alipo, anawaona wale wote mliojifanya ni rafiki zake na mnamjali sana, mama yake ni mama yetu, tutawashuhudia kwenye msiba huu, maana naukumbuka ule msiba wa Dada ya Magufuli, jinsi watu walivyopishana Chato. Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?

RIP Mama yetu, Mama Magufuli, utapata mapokezi makubwa mbinguni kwasababu Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani, mwana atampokea mamaye.

RIP Mama Mzazi wa Magufuli, Mama Suzana Magufuli
Tukutane Chato.

P.
 
Back
Top Bottom