Huu ni usariti mkubwa sana mwenyekiti siku zote unatuhamasisha tupige nyeto harafu wewe leo unasema una hamu ya kudinya, Mwenyekiti unasariti chama.We mtaje bila kumtag. Akileta matusi Mimi nitakula naye sahani moja. Kwanza nina hamu ya kudinya.
Chawa unajisahau sanaNdio ujiandae kufa na kuzikwa
Msiba huu ndio kipimo cha mtu anathaminiwa kiasi gani, asume kama JPM angekuwa hai, halafu kafiwa na mama yake mzazi, msiba huo ungekuwa mkubwa kiasi gani kule Chato?.Mama Mzazi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, Suzana Magufuli amefariki dunia leo Mei 25, 2026, Chato Mkoani Geita baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Akizungumza na AyoTV kwa njia ya simu, Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amethibitisha kutokea kwa msiba huo akieleza kuwa Bibi Suzana amefariki saa 1 usiku Nyumbani kwake Chato.
“Bibi yetu (Suzana Mussa) amefariki saa moja nyumbani kwake Chato baada ya kuugua kwa muda mrefu, taratibu za msiba familia itawajulisha, Bwana ametoa na Bwana ametwaa” Jesca.
Mara Moja Moja si mbaya mkuu 😂.Huu ni usariti mkubwa sana mwenyekiti siku zote unatuhamasisha tupige nyeto harafu wewe leo unasema una hamu ya kudinya, Mwenyekiti unasariti chama.
Apumzike kwa amani
Duh Jamani 😞Alikuwa kwenye "koma" hata hakujua habri za msiba