Mama yake Jihan (mrembo wa taifa) anajua athari kubadili dini kwa mwanawe?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Nimemsikia ktk tiktok na mitandao mengine akisema yeye ni muislamu lkn mwanawe ameingia ktk dini nyengine., kwake anaona ni simple tu,

Anajua kwamba muislam akiibadili dini hawezi kurithi mali zake endapo ataondoka mmoja kati yao?

Anajua uwalii yaani uwozeshaji kwa mtoto wa kike ushahama ktk familia?

Anajua kwamba kinachobaki ni mama au baba tu lakini mambo yote ya familia yanahama?
Anajua Sheria za kiislam mwanafamilia anapotoka ktk dini basi haki za familia ikiwemo mirathi zote anazikosa?
Pia uwaliii yaani baba kumuozesha mwanawe nayo haki hio inaondoka?
SHERIA ZA KIISLAMU ZIMEENYOKA , HAZIKUPINDA PINDA.

Hii ni sawa na mpo ndani ya ndege angani anatokea mtu mmoja anataka kuingusha ndege. Hii ni sawa na muislam ktk kuitafuta pepo, hapatikiwi kizuizi

Anajua kwamba kinachobaki ni mama au baba tu lkn mambo yote ya familia yanahama?
Anajua Sheria za kiislam mwanafamilia anapotoka ktk dini basi haki za familia ikiwemo mirathi zote anazikosa?
Pia uwaliii yaani baba kumuozesha mwanawe nayo haki hio inaondoka?
SHERIA ZA KIISLAMU ZIMEENYOKA , HAZIKUPINDA PINDA.
Hii ni sawa na mpo ndani ya ndege angani anatokea mtu mmoja anataka kuingusha ndege. Hii ni sawa na muislam ktk kuitafuta pepo, hapatikiwi kizuizi
Wengi tu wamehama kwenye Uislamu na maisha yanaenda vizuri tu .Jihan siyo wa kwanza na hatakuwa wa mwisho.

Jihan ataolewa kwa sheria za dini aliyohamia
 
Nimemsikia ktk tiktok na mitandao mengine akisema yeye ni muislamu lkn mwanawe ameingia ktk dini nyengine., kwake anaona ni simple tu,

Anajua kwamba muislam akiibadili dini hawezi kurithi mali zake endapo ataondoka mmoja kati yao?

Anajua uwalii yaani uwozeshaji kwa mtoto wa kike ushahama ktk familia?

Anajua kwamba kinachobaki ni mama au baba tu lakini mambo yote ya familia yanahama?
Anajua Sheria za kiislam mwanafamilia anapotoka ktk dini basi haki za familia ikiwemo mirathi zote anazikosa?
Pia uwaliii yaani baba kumuozesha mwanawe nayo haki hio inaondoka?
SHERIA ZA KIISLAMU ZIMEENYOKA , HAZIKUPINDA PINDA.

Hii ni sawa na mpo ndani ya ndege angani anatokea mtu mmoja anataka kuingusha ndege. Hii ni sawa na muislam ktk kuitafuta pepo, hapatikiwi kizuizi

View attachment 3694565
Una akili za KIMASKINI sana, kumbe Uislam ni wa hovyo namna hiyo...
 
Dini dini dini! who gives a ***?!
Fuata yako, wacha na wengine wafanye yao kwa muda wao na wanayoyapenda!
 
Nimemsikia ktk tiktok na mitandao mengine akisema yeye ni muislamu lkn mwanawe ameingia ktk dini nyengine., kwake anaona ni simple tu,

Anajua kwamba muislam akiibadili dini hawezi kurithi mali zake endapo ataondoka mmoja kati yao?

Anajua uwalii yaani uwozeshaji kwa mtoto wa kike ushahama ktk familia?

Anajua kwamba kinachobaki ni mama au baba tu lakini mambo yote ya familia yanahama?
Anajua Sheria za kiislam mwanafamilia anapotoka ktk dini basi haki za familia ikiwemo mirathi zote anazikosa?
Pia uwaliii yaani baba kumuozesha mwanawe nayo haki hio inaondoka?
SHERIA ZA KIISLAMU ZIMEENYOKA , HAZIKUPINDA PINDA.

Hii ni sawa na mpo ndani ya ndege angani anatokea mtu mmoja anataka kuingusha ndege. Hii ni sawa na muislam ktk kuitafuta pepo, hapatikiwi kizuizi

View attachment 3694565
Umesahau kuandika kuwa anatakiwa kuuwawa, naona unafichaficha tu
 
Wakishua kwao sio shida.na elimu wanazopewa ni mtaji tosha
Jihan hapo alipo tayari ana Mali zake.hilo taji tu kanyakua na kitita Cha zaidi ya mil 100
Na ana pesa na madili kabla ya Hilo taji na yanakuja mengine ikiwemo ubalozi.
Nyie bakini na Sheria azenu za kiislamu.
 
Nimemsikia ktk tiktok na mitandao mengine akisema yeye ni muislamu lkn mwanawe ameingia ktk dini nyengine., kwake anaona ni simple tu,

Anajua kwamba muislam akiibadili dini hawezi kurithi mali zake endapo ataondoka mmoja kati yao?

Anajua uwalii yaani uwozeshaji kwa mtoto wa kike ushahama ktk familia?

Anajua kwamba kinachobaki ni mama au baba tu lakini mambo yote ya familia yanahama?
Anajua Sheria za kiislam mwanafamilia anapotoka ktk dini basi haki za familia ikiwemo mirathi zote anazikosa?
Pia uwaliii yaani baba kumuozesha mwanawe nayo haki hio inaondoka?
SHERIA ZA KIISLAMU ZIMEENYOKA , HAZIKUPINDA PINDA.

Hii ni sawa na mpo ndani ya ndege angani anatokea mtu mmoja anataka kuingusha ndege. Hii ni sawa na muislam ktk kuitafuta pepo, hapatikiwi kizuizi

View attachment 3694565

Kurithi mali gani? Wewe ndio unayegawa hizo mali?

Ukiwa dini yako ujue ni dini yako. Achana na mambo ya watu na dini nyingine. Pambana na madhaifu yako utoboe. Mungu atakuuliza wewe kama wewe. Sio nani na nani kama vile umepewa jukumu hilo la kuhusu mambo ya watu wengine.

Halafu, pilipili usiyoila inakuwashia nini? Mbona sisi tumekaa kimya na mmejipatia Shekhe Mwaipopo, bure bure awasaidie?
 
Back
Top Bottom