Mama yake Jihan (mrembo wa taifa) anajua athari kubadili dini kwa mwanawe?

Mama yake Jihan (mrembo wa taifa) anajua athari kubadili dini kwa mwanawe?

Swali. Mama yake anajua akifa Jihan au yeye hakuna wa kumrithi mwenziwe?
Mbona kuna waliobadili na wakarithi?

Akirithi utaenda kumzuia?

Wewe una mamlaka ya kisheria zaidi ya mahakama ya nchi??
 
Mbona kuna waliobadili na wakarithi?

Akirithi utaenda kumzuia?

Wewe una mamlaka ya kisheria zaidi ya mahakama ya nchi??
Uislam unakataza jambo hilo, labda wavunj
Sheria zenu zinaishia msikitini huku nje za mahakama na katiba ndio zinafanya kazi
Familia inayorithi kwa njia za mahakama badala ya kiislam halafu ni waislam itakuwa wameingia ktk.dhambi.kubwa
 
Uislam unakataza jambo hilo, labda wavunje sheria
Hujui kuwa Sheria ya nchi inaruhusu?

Au unataka kupita naye kama wafanyavyo makobaz wa Uarabuni??

 
Nimemsikia ktk tiktok na mitandao mengine akisema yeye ni muislamu lkn mwanawe ameingia ktk dini nyengine., kwake anaona ni simple tu,

Anajua kwamba muislam akiibadili dini hawezi kurithi mali zake endapo ataondoka mmoja kati yao?

Anajua uwalii yaani uwozeshaji kwa mtoto wa kike ushahama ktk familia?

Anajua kwamba kinachobaki ni mama au baba tu lakini mambo yote ya familia yanahama?
Anajua Sheria za kiislam mwanafamilia anapotoka ktk dini basi haki za familia ikiwemo mirathi zote anazikosa?
Pia uwaliii yaani baba kumuozesha mwanawe nayo haki hio inaondoka?
SHERIA ZA KIISLAMU ZIMEENYOKA , HAZIKUPINDA PINDA.

Hii ni sawa na mpo ndani ya ndege angani anatokea mtu mmoja anataka kuingusha ndege. Hii ni sawa na muislam ktk kuitafuta pepo, hapatikiwi kizuizi

View attachment 3694565
Kweli uislamu ni tatizo duniani
 
Back
Top Bottom