Wengi tu wamehama kwenye Uislamu na maisha yanaenda vizuri tu .Jihan siyo wa kwanza na hatakuwa wa mwisho.Nimemsikia ktk tiktok na mitandao mengine akisema yeye ni muislamu lkn mwanawe ameingia ktk dini nyengine., kwake anaona ni simple tu,
Anajua kwamba muislam akiibadili dini hawezi kurithi mali zake endapo ataondoka mmoja kati yao?
Anajua uwalii yaani uwozeshaji kwa mtoto wa kike ushahama ktk familia?
Anajua kwamba kinachobaki ni mama au baba tu lkn mambo yote ya familia yanahama?
Anajua Sheria za kiislam mwanafamilia anapotoka ktk dini basi haki za familia ikiwemo mirathi zote anazikosa?
Pia uwaliii yaani baba kumuozesha mwanawe nayo haki hio inaondoka?
SHERIA ZA KIISLAMU ZIMEENYOKA , HAZIKUPINDA PINDA.
Hii ni sawa na mpo ndani ya ndege angani anatokea mtu mmoja anataka kuingusha ndege. Hii ni sawa na muislam ktk kuitafuta pepo, hapatikiwi kizuizi
Swali. Mama yake anajua akifa Jihan au yeye hakuna wa kumrithi mwenziwe?Wengi tu wamehama kwenye Uislamu na maisha yanaenda vizuri tu .Jihan siyo wa kwanza na hatakuwa wa mwisho.
Jihan ataolewa kwa sheria za dini aliyohamia
Una akili za KIMASKINI sana, kumbe Uislam ni wa hovyo namna hiyo...Nimemsikia ktk tiktok na mitandao mengine akisema yeye ni muislamu lkn mwanawe ameingia ktk dini nyengine., kwake anaona ni simple tu,
Anajua kwamba muislam akiibadili dini hawezi kurithi mali zake endapo ataondoka mmoja kati yao?
Anajua uwalii yaani uwozeshaji kwa mtoto wa kike ushahama ktk familia?
Anajua kwamba kinachobaki ni mama au baba tu lakini mambo yote ya familia yanahama?
Anajua Sheria za kiislam mwanafamilia anapotoka ktk dini basi haki za familia ikiwemo mirathi zote anazikosa?
Pia uwaliii yaani baba kumuozesha mwanawe nayo haki hio inaondoka?
SHERIA ZA KIISLAMU ZIMEENYOKA , HAZIKUPINDA PINDA.
Hii ni sawa na mpo ndani ya ndege angani anatokea mtu mmoja anataka kuingusha ndege. Hii ni sawa na muislam ktk kuitafuta pepo, hapatikiwi kizuizi
View attachment 3694565
😂😂😂Mudi kasepa zake kawaachia wafuas wake hili janga 🔒
Umesahau kuandika kuwa anatakiwa kuuwawa, naona unafichaficha tuNimemsikia ktk tiktok na mitandao mengine akisema yeye ni muislamu lkn mwanawe ameingia ktk dini nyengine., kwake anaona ni simple tu,
Anajua kwamba muislam akiibadili dini hawezi kurithi mali zake endapo ataondoka mmoja kati yao?
Anajua uwalii yaani uwozeshaji kwa mtoto wa kike ushahama ktk familia?
Anajua kwamba kinachobaki ni mama au baba tu lakini mambo yote ya familia yanahama?
Anajua Sheria za kiislam mwanafamilia anapotoka ktk dini basi haki za familia ikiwemo mirathi zote anazikosa?
Pia uwaliii yaani baba kumuozesha mwanawe nayo haki hio inaondoka?
SHERIA ZA KIISLAMU ZIMEENYOKA , HAZIKUPINDA PINDA.
Hii ni sawa na mpo ndani ya ndege angani anatokea mtu mmoja anataka kuingusha ndege. Hii ni sawa na muislam ktk kuitafuta pepo, hapatikiwi kizuizi
View attachment 3694565
Nimemsikia ktk tiktok na mitandao mengine akisema yeye ni muislamu lkn mwanawe ameingia ktk dini nyengine., kwake anaona ni simple tu,
Anajua kwamba muislam akiibadili dini hawezi kurithi mali zake endapo ataondoka mmoja kati yao?
Anajua uwalii yaani uwozeshaji kwa mtoto wa kike ushahama ktk familia?
Anajua kwamba kinachobaki ni mama au baba tu lakini mambo yote ya familia yanahama?
Anajua Sheria za kiislam mwanafamilia anapotoka ktk dini basi haki za familia ikiwemo mirathi zote anazikosa?
Pia uwaliii yaani baba kumuozesha mwanawe nayo haki hio inaondoka?
SHERIA ZA KIISLAMU ZIMEENYOKA , HAZIKUPINDA PINDA.
Hii ni sawa na mpo ndani ya ndege angani anatokea mtu mmoja anataka kuingusha ndege. Hii ni sawa na muislam ktk kuitafuta pepo, hapatikiwi kizuizi
View attachment 3694565
Kabisa. Sifa kubwa ni kukosa uwezo wa kupambanua mambo hata kama wewe ni ProfesaKuwa muislam inabidi uwe na uwezo mdogo sana wa kufikiri
Utarithi wewe basi kwa kuwa wewe ni muislam!Swali. Mama yake anajua akifa Jihan au yeye hakuna wa kumrithi mwenziwe?
Utarithi wewe basi kwa kuwa wewe ni muislam!