watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Kuna mdau ni rafiki wa muda mrefu tangu tukiwa shule ya msingi.
elimu ipo, roho safi na kwa bahati nzuri alipata connection kuajiriwa moja ya shirika kubwa, so yupo vizuri financially.
Sasa tangu aoe hali imekuwa tete, nasema ni tete kwasababu sio kawaida mwanaume mwenzako kuja kukuomba ushauri mambo ya ndo basi mambo yamekuwa mazito sana,
Dada zake na mama yake hawampendi mke wake, sababu ya haya yote wanaona mwanamke anafaidi sana mafanikio kuliko wao, hata mke wakiona mke wake ana simu mpya nongwa tayari, na kilichowauzi zaidi ni baada ya kumnunulia mke wake IST ya kutembelea lakini hata huko kwao kawanunulia magari.
Stage walipofikia mama na dada zake wanamwendea kwa mganga kufanya wanahokijua wao ndipo alipotishwa zaidi.
Upande wa mke hauna shida, hana elimu kubwa kaishia form 4 , kamzalia watoto watatu photocopy, majukumu ya nyumbani hufanya yeye, ndugu zake hawajawahi kuingilia mambo ya ndoa zaidi ya kwenda kuwajulia hali mara moja moja,