Mama yake Wema Sepetu unajishushia heshima

Mama yake Wema Sepetu unajishushia heshima

Sharti la kujishushia heshima lazima uwe nayo kwanza. Je anakidhi kigezo hicho?
 
Leo mama wema nimekushusha huku mtaani kwetu tunasema nimekushusha vyeo yaani heshima nimesikiliza mahojiano yako na Soudy Brown wa Clouds fm muda huu nimeshangaa unavyopayuka kuhusu ugomvi wa mwanao na Man Fongo hata haingii akilini kwa kuchukua maneno ya kuambiwa ndo kuwa source yako kubwa kuamini na kuongea maneno ambayo hata mwanao angeongea ningemdharau ila umekuja kuongea wewe naona bado ujauzoea umaarufu we ni mtu mzima unatakiwa ujiepushe na mambo hayo ya kitoto mana hata mwanao ni binadamu na anakosea sijapenda kabisa
Kwahyo unafikiria kwambo wote tumesikiliza hayo mahojiano? Jifunze kuleta nyuzi humu.
 
Huyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.

Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.

Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.

Hajielewi huyo mwanamke.
Na usivyompenda bado haujatuwekea clip zake za kutukana [emoji28][emoji28]
 
Huyu mama leo kanichekesha pia eti anamwambia soud nikueleze wewe kama nanii etii mm naongea na baba ake sio man fongo jaman wasanii ni wengi tuu ila huwa mama zao hawaongeii ,huyu mama ilipaswa mambo mengine akipigiwa simu awe anakata tuu simu asijibu lolote lile ili heahima yake iwepo ila kuongea kwenye media utamchapa soudy wewe jaman hiv ni vitukoo
 
Mliodhani vijana kama hawa ndio wanaoifanya clouds iwepo ongezeni na wazazi wao pia ...hivi unaweza kusikia conversation za kidaku hivi kwenye radio 1 mfano!?
 
Na usivyompenda bado haujatuwekea clip zake za kutukana [emoji28][emoji28]

Hapana, mimi simchukii Wema wala mama yake.

Siwezi kuwachukia kwa sababu siwajui na wao hawanijui na hawajawahi kunikosea chochote.

Huwa nazishangaa tu tabia zao.

Sasa bila video watu mnaweza kudhani labda nawaonea.

Hebu jionee mwenye walipokuwa kwenye kigoma chao hapo Escape 1.

Mama mzima anaenda kwenye kigoma sijui cha Urugwai au sijui cha Paragwai😀.

Hapo chini ona walivyokuwa wanaingia ukumbini...

[emoji28][emoji28][emoji28] Mama wa digital hao
 
Huyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.

Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.

Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.

Hajielewi huyo mwanamke.
Nasikia pale escape one siku ya usiku wa vigoma kulikuwa na mashabiki zaidi ya 7000,nasikia mwanae alipiga pesa ndefu sana ukichanganya na sandals na lipstick zake ndo maana mama anakiburi
 
Hapana, mimi simchukii Wema wala mama yake.

Siwezi kuwachukia kwa sababu siwajui na wao hawanijui na hawajawahi kunikosea chochote.

Huwa nazishangaa tu tabia zao.

Sasa bila video watu mnaweza kudhani labda nawaonea.

Hebu jionee mwenye walipokuwa kwenye kigoma chao hapo Escape 1.

Mama mzima anaenda kwenye kigoma sijui cha Urugwai au sijui cha Paragwai😀.

Hapo chini ona walivyokuwa wanaingia ukumbini...

M pia nilishangaa sana
Huy mama anafanana na mtoto wake tabia
 
Back
Top Bottom