WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,017
Kuna ule msemo usemao "LIKE MOTHER LIKE DAUGHTER" [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] oh sorry kumbe ni""LIKE FATHER LIKE SON "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo unafikiria kwambo wote tumesikiliza hayo mahojiano? Jifunze kuleta nyuzi humu.Leo mama wema nimekushusha huku mtaani kwetu tunasema nimekushusha vyeo yaani heshima nimesikiliza mahojiano yako na Soudy Brown wa Clouds fm muda huu nimeshangaa unavyopayuka kuhusu ugomvi wa mwanao na Man Fongo hata haingii akilini kwa kuchukua maneno ya kuambiwa ndo kuwa source yako kubwa kuamini na kuongea maneno ambayo hata mwanao angeongea ningemdharau ila umekuja kuongea wewe naona bado ujauzoea umaarufu we ni mtu mzima unatakiwa ujiepushe na mambo hayo ya kitoto mana hata mwanao ni binadamu na anakosea sijapenda kabisa
Na usivyompenda bado haujatuwekea clip zake za kutukana [emoji28][emoji28]Huyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.
Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.
Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.
Hajielewi huyo mwanamke.
Sio wote mkuuUkiona mtu tu anahojiwa na Soudy Brown ujue 'hazimtoshi' kihivyo
Ahaha umeua mkuu..Ukiona mtu tu anahojiwa na Soudy Brown ujue 'hazimtoshi' kihivyo
Na usivyompenda bado haujatuwekea clip zake za kutukana [emoji28][emoji28]
Hapana, mimi simchukii Wema wala mama yake.
Siwezi kuwachukia kwa sababu siwajui na wao hawanijui na hawajawahi kunikosea chochote.
Huwa nazishangaa tu tabia zao.
Sasa bila video watu mnaweza kudhani labda nawaonea.
Hebu jionee mwenye walipokuwa kwenye kigoma chao hapo Escape 1.
Mama mzima anaenda kwenye kigoma sijui cha Urugwai au sijui cha Paragwai😀.
[emoji28][emoji28][emoji28] Mama wa digital hao
[emoji28][emoji28][emoji28]we kwa akili yako Ngabu unamkana kweliSipati picha eti mama yangu anaenda kwenye kigoma...nitamkana!
Nasikia pale escape one siku ya usiku wa vigoma kulikuwa na mashabiki zaidi ya 7000,nasikia mwanae alipiga pesa ndefu sana ukichanganya na sandals na lipstick zake ndo maana mama anakiburiHuyo mama alienda pia kwenye kigoma cha Wema alichokifanyia sijui ndo Escape 1 pale.
Tena akapanda hadi kwenye jukwaa.
Akawa anajitikisa tikisa kama wale wadada wengine walivyokuwa wanafanya.
Hajielewi huyo mwanamke.
Hapana, mimi simchukii Wema wala mama yake.
Siwezi kuwachukia kwa sababu siwajui na wao hawanijui na hawajawahi kunikosea chochote.
Huwa nazishangaa tu tabia zao.
Sasa bila video watu mnaweza kudhani labda nawaonea.
Hebu jionee mwenye walipokuwa kwenye kigoma chao hapo Escape 1.
Mama mzima anaenda kwenye kigoma sijui cha Urugwai au sijui cha Paragwai😀.
Hapo chini ona walivyokuwa wanaingia ukumbini...