Mama yako na Mke wako nani anastahili kukaa siti ya mbele ya Gari yako mnapotoka wote kwa pamoja?

Mama yako na Mke wako nani anastahili kukaa siti ya mbele ya Gari yako mnapotoka wote kwa pamoja?

Kwani kuna wamama wanakomaa kukaa mbele? Mie mama hata kama tuko wawili tu huwaga anajikalia siti ya nyuma. Mbele anakaaga wife

Ila akiwa na baba ndo anakaa siti ya mbele (baba akiwa ana drive).

Kiufupi maza hanaga shobo na kukaa mbele kwenye gari yangu, anakaaga kwny gari ya mumewe
 
Kwakua umesha muita mke, basi jitahidi umpe heshma yake kwasababu hata mama yako alikua paswa kuipata heshma hiyo kwa baba yako.
Ukiamua kuoa, ebu usilazimishe kufananisha nafasi na mke wako na mama yako...🤨
Mama anastahili upendo kutoka kwa mtoto wake, lakini mama yako hapaswi kuiziba nafasi ya mke wako (kama umeamua kuoa).
Kumbe saa mbovu kunamda hinasema ukweli
 
Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.

Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.

Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.

Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Hivi mama unamchukuliaje wewe, mke mnaweza kuachana, mama unaweza kumuacha kuwa alikuwa mama wa zamani, Mama anatakiwa kukaa siti ya mbele
 
Kama wanagombania seat,
Mmoja awe dereva mwingine awe abiria,
mimi nitakaa nyuma niendelee kuchat, sitaki usumbufu waendelee kupambana huko mbele
 
Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.

Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.

Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.

Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Mbona jepesi sana hili, kwenye safari ya maisha ni mke na mume wazazi wanakaa nyuma kuwapata support, kwa muktadha huo hata kwenye gari mama atakaa na wajukuu wake nyuma, ila akiwa Baba lazima akae mbele
 
Back
Top Bottom