mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 996
- 2,636
Kumbe saa mbovu kunamda hinasema ukweliKwakua umesha muita mke, basi jitahidi umpe heshma yake kwasababu hata mama yako alikua paswa kuipata heshma hiyo kwa baba yako.
Ukiamua kuoa, ebu usilazimishe kufananisha nafasi na mke wako na mama yako...🤨
Mama anastahili upendo kutoka kwa mtoto wake, lakini mama yako hapaswi kuiziba nafasi ya mke wako (kama umeamua kuoa).
Hivi mama unamchukuliaje wewe, mke mnaweza kuachana, mama unaweza kumuacha kuwa alikuwa mama wa zamani, Mama anatakiwa kukaa siti ya mbeleWakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Hata saa mbovu, wakati mwingine haipotezi majira..😝Kumbe saa mbovu kunamda hinasema ukweli
Mbona jepesi sana hili, kwenye safari ya maisha ni mke na mume wazazi wanakaa nyuma kuwapata support, kwa muktadha huo hata kwenye gari mama atakaa na wajukuu wake nyuma, ila akiwa Baba lazima akae mbeleWakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.