Mama yako na Mke wako nani anastahili kukaa siti ya mbele ya Gari yako mnapotoka wote kwa pamoja?

Mama yako na Mke wako nani anastahili kukaa siti ya mbele ya Gari yako mnapotoka wote kwa pamoja?

Huyo hana shida 😅😅😅 kuna wenye jicho huku hadi unampisha mwenyewe 😅 halafu ukute alikuwa Single mama halafu alimlea kwa shida na mwanae kafanikiwa. Usiombe kukutana nae. 😛😛
Aisee kumbe bado Mungu ananipenda walahi😆😆,. Wamama wengine jau sana aisee
 
Huu ni ujinga wa asili wa Mtanzania.

Kaona tamthilia ya kinaijeria sasa anaihusisha na uhalisia.
 
Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.

Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.

Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.

Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Tuanze na Baba yako, je Kati ya baba yako na mke wako nani inatakiwa akae mbele
 
Back
Top Bottom