Mama yako na Mke wako nani anastahili kukaa siti ya mbele ya Gari yako mnapotoka wote kwa pamoja?

Kwa kiwango cha heshima Mkuu
Binafsi nitaitazama kama baba.

Mitoto ya kiume inapenda tabia ya kuacha mama zao washindane na wake zao. Hii ndo inaleta ukakasi wa nani muhimu.

Upuuzi wa mke wangu kuchukua nafasi ya mkwe wangu sitaki.

Kwanza Kila mtu akae na mkewe nyumbani kwake.

Au kama unataka sana kukaa na mke wangu mbele mlete wako nikae nae huku aliponiacha mke wangu akaja huko kupanda gari yako.

NB: Heshima ya mama haina vipimo sawa na heshima ya mke. Mama ni mama, hawezi chukua nafasi ya mke kwa kigezo cha heshima.

Mama mwenye akili anajua mipaka yake anapokuwa kwenye nyumba ya mwanae mwenye mke. Mke mwenye adabu anajua namna ya kumpa heshima mama wa mume wake maana kuna siku naye atakuwa kwenye hiyo nafasi.
 
Good thinking
 
Kimamlaka

1. Mungu kwanza

2. Wazazi.

3. Watoto( mke na mume)

Pia seat ya mbele kiutaratibu unatakiwa kubaki wazi,

Ila ikiwa seat unapewa Heshima, ngazi hapo juu zifuatwe.
Toa ujinga na ukrtimba wako hapa
 
Kimamlaka

1. Mungu kwanza

2. Wazazi.

3. Watoto( mke na mume)

Pia seat ya mbele kiutaratibu unatakiwa kubaki wazi,

Ila ikiwa seat unapewa Heshima, ngazi hapo juu zifuatwe.
Na mkeo akiwa kwa baba yako nani ana mamlaka nae?

Mamlaka hayapimwi kwa kunyang'anyana nafasi.
 
Mimi mama yangu mzazi kwa heshima yake ,na hata kama ni gari ya mke wangu basi nitakaa nyuma maranyingi
 
Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.

Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.

Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.

Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
bila kujali siti gani wamekaa, they all arive to the destination at the same time
 
Kwenye gari yangu mama hawezi kaa mbele yangu mtasema na m baishia na nyuma hawezi kaa na mke wangu siwezi ku risk kupakia mshikaki wanawake wangu wa shoka
Gari yangu ni ya matairi mawili yan HAOJUE
 
Mkuu kwani kukaa siti ya mbele kuna maanisha nini hasa..? Sikia wanawake wanaujinga mwingi sana endelea kuwaendekeza tu ipo siku watakupanda kichwani
 
Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.

Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.

Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.

Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Ukijaa nyuma unakufa???
 
Mimi mama yangu mzazi kwa heshima yake ,na hata kama ni gari ya mke wangu basi nitakaa nyuma maranyingi
Ni jambo jepesi sana kama mkeo na mama wana akili.
wakiwa na akili hawawezi kukuweka kwenye hiyo nafasi ya kufikiria nani akae mbele. Wala hawahitaji maelekezo yako. Ukiona kuna hili tatizo ujue wote hawana akili, pakitokea mmoja tu mwenye akili kati ya mama au mke mwanaume huwezi pata hii changamoto.
 
Back
Top Bottom