dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Mwanaume aweza kuwa na wake wengi ila mama ni mmoja tu. That's one. Pili, siti zinatofautiana hadhi?Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Hoja hizo zikusaidie kufikia maamuzi.