Mama yangu kwanza

Kuna watu wajinga hakuna mfano. Baba ndo kakutunza wewe na mama yako. Ni sawa na usafiri na gari ulishukuru bodi la gari ukayadharau matairi ambayo 1 yamelibeba gari, 2.

Yalizunguka njia nzima kuhakikisha safari inaisha salama 3. Wakati yanazunguka yalisuguana na lami hivo kuisha taratibu ili wewe ufike safari yako mapema.

Hata mm nikiwa mdogo nlimpenda sana mama yangu ila utu uzima ukanifunza kuwa baba ndie wa kusifiwa na sio mama kama nlivyofikiri
 
Mke sio ndugu... Unaweza kufa na asili! Ukafa Leo kesho usiku akapigwa miti na mdogo wako wa damu.. Narudia mke sio ndugu
KATA NDOA
 
[emoji37][emoji37][emoji37][emoji37]**Natamani limama mkwe langu litoweke hapa duniani hata leo.
 
Wabaa Wababa wanasahaulika Sana,Ila wanapitiaga mbilinge Sana mpaka sie tuwe watu wazima
 
Mama ndio kila kitu mkuu kuliko kugawana mali na mke bora niwape ndugu zangu zote
Sasa mali ndio inakufanya uone mama ndio kila kitu,we mpuuzi wa mwisho,mwisho wa siku wakati wa kugawa mashamba unaenda kulia kwa baba yako ambaye ni damu yako sio wajomba zako,mbona dogo hukui,hujui kutofautisha hisia na uhalisia...!!! Au unaitwa kwa jina la mama yako nini?
 
Haya ndio matoto masenge,yanayobaki kuimba mitandaoni nani kama mama...! Utakuta hela ya ada baba alikua anampa mama chumbani lenyewe halioni,halafu mama anakuja kujitamba mbele yake mwanangu soma unaona navyo kupambania babako Amna kitu, mwanangu usimwamini mwanamke hata awe mama Ako, wakati mwingine anaweza kukupa data za uongo ili tu kujihakikishia usalama wa baadae, mfano mzuri ni mahusiano uliyo nayo na mwanamke wako,kama humwamini mke wako vivo hivyo na baba yako anafanya kwa dem(mke) wake ambaye ni mama yako......!!!! Vijana tujifunze kuziheshim nafasi za baba zetu maana nasisi ni mababa...tutayakuta huko uzeeni
 
Alie kuzaa tu ndio anakupenda, na ndie ambae anaweza akakaa na wewe kwa hali zote.. ukiugua wehu kichaa mke anakutelekeza mchana kweupe na atapata mkurungwa mwingine.. ila mama kila ambapo atakuwa anakuona na hiyo hali chozi litamtoka..
 
Ila mki zeeka, mkaona watoto wenu wanaanza kuhudumia mama Zao, msiwnze kulia lia
 
It takes a man to understand a man , a boy will never understand the man's business.
 
Holy star tell your daughter not me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…